Prince Nadheem
JF-Expert Member
- Feb 25, 2012
- 1,270
- 1,111
Prince Nadheem pole sana na tatizo lililokukuta. kwa kuwa mashine yako iko affected tayari na virus, sikushauri ukimbilie ku install antivirus badala yake nakushauri u download Kaspersky Rescue Disk HAPA au Bitdefender Rescue CD HAPA halafu uziburn kwenye CD au u create bootable flash drive ambayo utaitumia kuscan kuboot na kuscan your entire PC. Kama hauna internet ya maana nakushauri ufuate njia ya mtaalam C6 maana maana ISO File za hizi rescue CD ni kubwa kidogo, kila moja ni zaidi ya 300MB.
Nimeipenda style yenu mnapigiana mapande kama Iniesta na Xavi...
fanya system restore mkuu, ingia safe mode kama alivosema c6(japo si lazima) search system restore then rudisha siku za nyuma kabla virusi havijaingia
Kupigiana mapande kivipi mkuu?
Namaanisha unavyotoa explanation then una mwachia mwingine as if ni game ya football kwa maestro Xavi akimpa pass Iniesta
Namaanisha unavyotoa explanation then una mwachia mwingine as if ni game ya football kwa maestro Xavi akimpa pass Iniesta
Ha ha haaaa!! Haya bwana.
jamaa utakuwepo chemba yetu leo?maana recently umeadimika sana, au desktop bado imeroga.? kama utakuwepo ntakucheki saa mida moda