Jamani mpemba anatongoza! Sikia lugha!

Jamani mpemba anatongoza! Sikia lugha!

Ralphryder

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2011
Posts
5,599
Reaction score
1,798
MPEMBA

ANATONGOZA DEM : ntoto weyee wallahi wanimaliza, unrefu kama nkarafuu, mashaalla mishavuyo yang'ara km papai bivu, nywelezo zinyooka km kamba za mibungo, fua lintuna km nazi koroma, ayo maguuyo yanjaza km ndizi ya nkono wa tembo, he! Nfikiria mwenzio naumia mieeee...!!!
 
unanikumbusha wimbo wa jamaa wa miondoko ya pwani anaimba MBELE KWANGU MWIKO!
 
Yahee hiv nikiongea haya watayasikia au napoteza mudaa tu?? Isije ikawa hawayasikii----kutoka znz ch10
 
MPEMBA

ANATONGOZA DEM : ntoto weyee wallahi wanimaliza, unrefu kama nkarafuu, mashaalla mishavuyo yang'ara km papai bivu, nywelezo zinyooka km kamba za mibungo, fua lintuna km nazi koroma, ayo maguuyo yanjaza km ndizi ya nkono wa tembo, he! Nfikiria mwenzio naumia mieeee...!!!

mmh hiyo lugha mbona inachekesha sana
 
safi sana kabinti lazima kalainike
kanabebeka kiulainiiiiiii!
 
MPEMBA

ANATONGOZA DEM : ntoto weyee wallahi wanimaliza, unrefu kama nkarafuu, mashaalla mishavuyo yang'ara km papai bivu, nywelezo zinyooka km kamba za mibungo, fua lintuna km nazi koroma, ayo maguuyo yanjaza km ndizi ya nkono wa tembo, he! Nfikiria mwenzio naumia mieeee...!!!
loooooo......kazi kwelikweli
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom