Quinton Canosa
JF-Expert Member
- Nov 2, 2012
- 1,228
- 1,264
Habari zenu wanajamii forum
Ngoja na mm leo niombe ushauri.Kuna binti mmoja nipo naye kwenye mahusiano kuanzia 2013 yeye yupo Dar na mm nipo mkoa moja kaskazini mwa Tanzania.Sasa tatizo langu huyu binti hayupo kabisa moyoni mwangu japokuwa yeye anaonyesaha ananipenda sana mpaka anajua kwamba nitamuoa lakini niseme ukweli mimi hayupo kabisa moyoni mwangu japokuwa namfahamu hadi mama yake mzazi na yeye ameweka karibu asilimia 90 anajua mm ni mtu wake,lakini moyo wangu unakataa jamani kwani nilikuwa namtamani tu,lakini yeye ananiambia ananisubiri nimalize ishu zangu za kutafuta maisha.Kiukweli anajali lakini tatizo moyo wangu unakataa maana mwili unamtamani lakini akili inakataa kuwa mwenza wangu wa maisha.Jamani moyo wa mtu ni kiza kinene.Naombeni ushauri nifanyeje ili nimpoteze mawazo yake ya kuishi na mimi japo nataka aishi na mimi kama rafiki yangu ila sio mke wangu.
Nawasilisha
Typing errors mkuu,nisamehe kwa hiloUtoto unakusumbua, hata iyo andika "x badala ya z au s" inadhihirisha wewe ni kivulana..hata huyo binti hajielewi huwezi tegemea mvulana awe mume...ngoja nilale labda utashauriwa na wavulana wenzio
Mkuu tatizo nimechewa kumwambia maana nimekaa naye muda mrefu aisee karibu miaka 4Simple...just tell her the truth in no uncertain terms.
Mkuu tatizo nimechewa kumwambia maana nimekaa naye muda mrefu aisee karibu miaka 4
Thanks bro,am working on itBetter late than never although never later is better!
Kweli kaka nikawa najiuliza nitakaa nalo hili mpaka lini...mapenzi bwana siri nzito kujua mpenzi wako anakupenda ni kitendawiliKaka ila una busara sana! But its better ukamuandalia mazingira ya kumuacha..maana mmekaa mda mrefu , ila sababu hujamzalisha na ww huna hisia nae bora umuache...but utamkumbuka, kigezo hapo ni kwamba mmezoeana hata kama humpendi! Itakuletea shida kiasi flani
ha ha ha kaka tatizo moyo unakataaSa hapo ukimuacha afu akakuroga,utamlaumu kweli'
Habari zenu wanajamii forum
Ngoja na mm leo niombe ushauri.Kuna binti mmoja nipo naye kwenye mahusiano kuanzia 2013 yeye yupo Dar na mm nipo mkoa moja kaskazini mwa Tanzania.Sasa tatizo langu huyu binti hayupo kabisa moyoni mwangu japokuwa yeye anaonyesaha ananipenda sana mpaka anajua kwamba nitamuoa lakini niseme ukweli mimi hayupo kabisa moyoni mwangu japokuwa namfahamu hadi mama yake mzazi na yeye ameweka karibu asilimia 90 anajua mm ni mtu wake,lakini moyo wangu unakataa jamani kwani nilikuwa namtamani tu,lakini yeye ananiambia ananisubiri nimalize ishu zangu za kutafuta maisha.Kiukweli anajali lakini tatizo moyo wangu unakataa maana mwili unamtamani lakini akili inakataa kuwa mwenza wangu wa maisha.Jamani moyo wa mtu ni kiza kinene.Naombeni ushauri nifanyeje ili nimpoteze mawazo yake ya kuishi na mimi japo nataka aishi na mimi kama rafiki yangu ila sio mke wangu.
Nawasilisha
najaribu niushauri moyoSasa unataka kushindana na moyo ?
dubadili namba yako ya simu kimya kimya
Au bado unamtaka? kama uko serious hii ni njia pekee na rahisi