Jamani mnasemaje kuhusu hili

Mchezo huo hauhitaji hasira kuwa mpole,,,let her leave,,,,anakuwa waster kwako,,,atakuj kuwa toxic kwako,,,,ukingangania utajiua bure,,,,LET HER LEAVE,,,,,
 
Tayari hiyo ni RED CARD,kuna lijamaa limeishapendwa kuliko wewe,achana nae kabla hajakutamkia.
 
ikifika stage hiyo,ukimchunguza bhas lazima ukute ana kibwana kingine.
 
Anza mbele kuna mwingine anafanyiwa uliyokuwa unafanyiwa wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…