uuuwiii shoga usidanganywe na picha, usitake kumuona live hutaamini yani picha na yeye ni mbingu na ardhi tofautiiiiiiiii hizo ni makeup na filters kibao.
there u are nana she just try i denied her stress, jide ni mwanamke wa kawaida sanaaaaaaa, hanaga mvuto si wa sura wala shepu. kwani kusema ukweli ni chuki???
uuuwiii shoga usidanganywe na picha, usitake kumuona live hutaamini yani picha na yeye ni mbingu na ardhi tofautiiiiiiiii hizo ni makeup na filters kibao.
My dear,sisi tunaongelea picha sio uhalisia hivi ni vitu viwili tofauti..
Nani asiyejua jide ni mbovu wa sura?lakini anapotokelezea tusifie tu jamani japo uhalisia sio hivyo