ndugu hela zipo tatizo ni hiyo collateral yako, endapo utatokomea na hiyo hela nitauza wapi hivo vyeti kurudisha hela yangu?

Nakuonea sana huruma. Kuna wakati sikuwa na hele kabisa nikamkopa mtu hela kwa style hiyo mwisho wa siku kilichonipata sitasahau maisha yangu japo leo nina hela kuliko yeye. Take care .
Yap collateral lazima iwe inauzika kurudisha deni in case mdaiwa akishindwa kulipa
Mmmh!!! Kabla hujapoteza muda humu, nenda katafute sehemu nyingine ili utatue tatizo lako,
Humu utaishia kuulizwa maswali tu
Best upo
Ndugu Zangu Nimekuwa Na Shida Ya Haraka Kidogo.
Naomba Mwenye Uwezo Wa Kunipatia Tsh 600,000 Ntampatia Baada Ya Mwez Mmoja Tshs 800,000.
Dhamana Ni Vyeti Vyangu Vya Sekondari Mpaka Chuo Kikuu.
Note, Utakuwepo Utaratibu Wa Kuhakikisha Usalama Wa Hela Yake Na Inarud Kwa Muda Muafaka, Pia Naye Atunze Vyeti Kwa Umakini.
Asante.
Mmmh!!! Kabla hujapoteza muda humu, nenda katafute sehemu nyingine ili utatue tatizo lako,
Humu utaishia kuulizwa maswali tu
Mkuu ulifanikiwa kupata mkopo?Ndugu Zangu Nimekuwa Na Shida Ya Haraka Kidogo.