N newazz JF-Expert Member Joined Mar 28, 2009 Posts 935 Reaction score 949 Mar 8, 2010 #41 Kweli.. ni ya kutunga... alitaka ajue maoni ya watu.. pengine anataka kuoa mke wa aina hiyo au mshikaji wake... ingekuwa kweli , angefaa jamaa wa Daily News wamrushe kwenye makala ya Woman..
Kweli.. ni ya kutunga... alitaka ajue maoni ya watu.. pengine anataka kuoa mke wa aina hiyo au mshikaji wake... ingekuwa kweli , angefaa jamaa wa Daily News wamrushe kwenye makala ya Woman..
E Edmund Senior Member Joined Jul 17, 2009 Posts 123 Reaction score 62 Mar 9, 2010 #42 Bado sijaona tatizo kuwa na Mke kama huyo. tatizo ni kwamba hatuna mazoea ya kufanya mazoezi hata kwa wanaume tulio wengi.
Bado sijaona tatizo kuwa na Mke kama huyo. tatizo ni kwamba hatuna mazoea ya kufanya mazoezi hata kwa wanaume tulio wengi.
X-PASTER JF-Expert Member Joined Feb 12, 2007 Posts 11,604 Reaction score 1,862 Mar 9, 2010 #43 Gender Sensitive said: Taratibu bwana huyu sio mwanamke. Click to expand... Tatizo ni nini hapo hizo muscles au...!?
Gender Sensitive said: Taratibu bwana huyu sio mwanamke. Click to expand... Tatizo ni nini hapo hizo muscles au...!?
M Mokoyo JF-Expert Member Joined Mar 2, 2010 Posts 15,145 Reaction score 5,574 Nov 21, 2013 #44 hakuna siku ngumi zimepigwa za mume na mke?