Jamani mimi sijielewi!!

Una ndege wewe,,, chakufanya achana na mapenzi,,,
Mbona na mi mpole lakn nmega kama kawa!!!!!
 
Wako yupo anakuja na she is da best,chakufanya tulia acha kuanzisha mahusiano na watu moyo wako haujaridhia,badala yake sali sana umuombe Mungu atakujbu wakati umpendezao ukifika
 
Kama umesha jitambua hivyo inabidi uwe makini sana.Huenda kuta hujui jinsi ya kuongea na mwanamke ili umvute vizuri awe karibu nawe na hata mwishoe mpendane yani kila mmoja ampende mwenzie.

Inawezekana..!!
 
Kutongoza ni fani inayowashinda wengi....
 
labda unatongoza viwango visivyokuwa vyako na kwa papara..wanapoenda kuwaelezea rafk zao, marafk wanavutiwa na kuwazunguka wenzao. Fanya mambo yako kama kobe kaka, kama kafika vile kumbe anafkria njia.
 
Tatizo lako unachagua matawi ambayo siyo yako. Wewe uwezo wako Escudo Unaenda Kuchagua Prado. Huoni kuwa unavaa viatu visivyokutosha?

mweleze huyo dau lake la mia ataka elfu mbili inahuuuuuuuuuuuuuu
 
Kufunga na kuomba ni vema sana ila unatakiwa pia uombewe na mtu ambaye unadhani imani yako iko juu ambaye wewe ukiombewa naye unaaamini utafunguka pia labda kuna tabia fulani unazo ambazo huwa haziwapendezi kina dada usikate tamaa ujue siku moja itafika tu hayo yataisha unajua kwenye maisha hakuna kitu kinadumu ee yote mapito tu take it easy najua ni ngumu lkn jua one day Yes
 
wape darasa!!! Hawajui kuzeveza vijana!!

Hahaha...wanaume wengi wanadhani kuzeveza ni kumsumbua sumbua mwanamke...hawajui kuwa if you can build a castle inside woman's heart, basi unakuwa umemaliza zaidi ya 80% ya tongozo lol
 
mi naona kama utulie na uache zinaa kwa muda wkt unajitafakari labda ukirudi utakuwa mpya na utapendwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…