Jamani mimi ni mpweke sana

Jamani mimi ni mpweke sana

Tulia kwanza mpaka akutoke umsahau ndo uanze upya.
 
Sasa wew kaoge njia panda utakuwa na nuksi maana niliona unalalamika kila msichana hakutaki leo tena umempata ila umeachwa ila pole
 
Wapendwa mimi sina hata wa kunifariji,yote hii kisa nimeachika.Nilikuwa na mpenzi wangu tuliokuwa tunapenda sana ila aliamua kuniacha bila kuniambia sababu, sasa mimi nimebaki mpweke.

Please naombeni ushauri wenu

1. Una umri gani?
2. Unajishughulisha na nini?

Maana hii post yako ya pili naiona ina maudhui yale yale.
Nijibu nione kama unafaa kuhifadhiwa na mimi.
 
Hehehehe.... jamannn fanyen yoteeee.... ila kupgwa kibut a.k.a kidoch a.k.a chagaaa kwa first tym.... na mtu ndo alkua cjui ananza maloveee... kashapgwa nao af kidochiii inaumaaaa inachomaaa..
 
Wapendwa mimi sina hata wa kunifariji,yote hii kisa nimeachika.Nilikuwa na mpenzi wangu tuliokuwa tunapenda sana ila aliamua kuniacha bila kuniambia sababu, sasa mimi nimebaki mpweke.

Please naombeni ushauri wenu

Ke au me??
 
Mi Sijamuelewa Mtoa Post Ni MWANAMKE AU MWANAUME?? Maana Wadau Wa Kiume Wanataka Wamuhifadh Wengine Wakike Wanamtaka Vilevile.
Please LIL BROWN Tuambie We Ni Ke Au Me?
 
Kupigwa kibuti ni jambo la kuhuzunisha na kuambatana na unyonge, lakini sababu yameshatokea kabiliana na matokeo
 
tatizo sio kuacha itakua na pesanazo hauna ndo maana coz ungekua na pesa wa kukufariji wapo kibao sasa mapenzi shidaaaaaaaaaaaaaa pesa ndo usisemeeeeeeeeeeee
 
Wapendwa mimi sina hata wa kunifariji,yote hii kisa nimeachika.Nilikuwa na mpenzi wangu tuliokuwa tunapenda sana ila aliamua kuniacha bila kuniambia sababu, sasa mimi nimebaki mpweke.

Please naombeni ushauri wenu

Nina kukabidhi MLR/SMG/AK47- 0659 474 866, ushindwe mwenyewe na usinung'unike tena, have a nice enjoy now.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom