Trial balance
JF-Expert Member
- Jun 16, 2020
- 202
- 160
Mi sio mbinafsi ila Nina stress sana kwaiyo naona kama ananisumbua tu mda wote nahitaji nipumzishe sana akili yanguLazima utakuwa mbinafsi sana
Yani nataka niwe tu busy na mambo yangu.Mi sio mbinafsi ila Nina stress sana kwaiyo naona kama ananisumbua tu mda wote nahitaji nipumzishe sana akili yangu
Yani staki kunambia mambo yasoeleweka yani mimi niwe na kazi ya kumthanisha nguo zake kama zimemkaa alinunua za nini sasa kama aliona hazimkai vizuri mimi najionea shida tu saizi nikiona anavaa natoka nje akiondoka naingia naendelea na mishe zanguYani nataka niwe tu busy na mambo yangu.
mkuu msamehe bure kwan anatabia za kivulana, akiwa mwanaume atabadilikaUjue we unatusanifu na kama sio hivyo basi kumbe ni wewe ndio mwenye mashida Traial balance. Najuta hata kuchangia ule uzi wako wa kuvaliana nguo, nilipoteza chaji ya computer yangu bure na zile dakika 2 nilizotumia kukomenti ushauri.
Mtu ajanyosha nguo alafu anavaa ananiambia hii nguo ina makunyazi wakati anaona kabisa ina makunyaz ananikera sanaYani staki kunambia mambo yasoeleweka yani mimi niwe na kazi ya kumthanisha nguo zake kama zimemkaa alinunua za nini sasa kama aliona hazimkai vizuri mimi najionea shida tu saizi nikiona anavaa natoka nje akiondoka naingia naendelea na mishe zangu
😂😂 kumbe ni bintmkuu msamehe bure kwan anatabia za kivulana, akiwa mwanaume atabadilika
Kioo kipo cha face,tu sio mpaka chini Mara hii shati itaendana na,hii sulual ivi mimi ni designer?Kwanini uteseke mnunulie kioo akae akijiangalia
Kunitoa stress au kuniongezea tu hapa!Kama una stress kuishi na mtu wa ivo ndo vizuri sababu atakuwa anakutoa kwenye msongo uliokuwa nao ata kwa muda mfupi, kikubwa ni kuchukulia simple hiyo tabia ya mwenzio pia kama unamwamini unaweza mshirikisha hizo stress akakushauri na kama sio kwa yeye, mtafute mtu unayemwamini ili umshirikishe huo msongo, ukikaa sawa utaweza kuishi na watu wa tabia zozote.
Yan mi nianze kumdesgn avae nguo ya aina gani apendeze kwani mi staki kupendeza mbon ye haniambii kama hii nguo imekukaa hii haijakukaaKunitoa stress au kuniongezea tu hapa!
mbon ye haniambii kama hii nguo imekukaa hii haijakukaa
Sina uo mda wa kusifiw sifiwa spendi sifa nipendeze nisipendeze ananidai nani kwani mi si show off maisha yangu nalizika nilivyokama hujamuuliza atakwambiaje? unataka ajisemeshe?