Ukifikia umri wa kusadikika utanielewa. Miaka 27 bado kijana na huo wasifu ulijibambikia wengi wenu ndio mnaamini ni njia bora ya kupata msichana na kumlaghai. Note nimetumia neno msichana na sio "Mwanamke".Natamani uwe katika situation niliyopo kwa sasa ndo utaujua ukweli, ila hata hivyo nashukuru kwa mtazamo wako ndugu.
Wewe wasema.Wanawake wote wanaosaliti,maana yake hawafiki kileleni ndani mwao
Shukrani pia kwa mtazamo wako.Ukifikia umri wa kusadikika utanielewa. Miaka 27 bado kijana na huo wasifu ulijibambikia wengi wenu ndio mnaamini ni njia bora ya kupata msichana na kumlaghai. Note nimetumia neno msichana na sio "Mwanamke".
Habari za mwezi mtukufu wa ramadani!
Mimi ni mgeni humu jamii forums lakini nahisi nyinyi ni watu wenye upendo na ushauri mzuri basi naombeni ushauri wenu.
Sijui nina kasoro gani maana kila ninapopenda natendwa, sijui ni kwanini kwa sababu ninadhani ninavyo almost vitu vyote ambavyo mabinti au wanawake hupenda kwa mwanaume, lakini nashangaa kila mwanamke nimpendae mwisho wa siku huishia kunitenda, kama sio kuniacha basi atanisaliti.
Ngoja kwanza nitoe wasifu wangu, mimi ni kijana wa makamo nina miaka 27 kwa sasa, nina kazi nzuri inayonilipa vizuri mbali na hapo nina biashara zangu binafsi za nyumba na viwanja (real estates) zinazoniingizia si chini ya laki 5 kwa siku namshukuru mungu pesa ya kubadili mboga na mafuta ya gari haisumbui. Pia nimebahatika kupata nafasi ya kuhudhuria gym kila siku tano za wiki hivyo mwili wangu unaonekana vyema na pia sura yangu si nzuri wala si mbaya nadhani nipo kwenye kundi la watu wa kawaida ki mtazamo wa sura. Ukija katika upande wa uanaume ki ukweli namshukuru mungu kanijalia mtarimbo wa maana na show napiga ya uhakika siyo kwamba najisifia ila huo ndo ukweli halisi, kiufupi bao la kwanza hua hata sipumziki naunganisha, (hapo kama nimeenda kavu na binti ninae muamini kiafya).Na kila binti niliyewai kushiriki nae tendo la ndoa hudhihirisha dhahiri ufundi wangu katika shughuli hiyo.
Lakini cha ajabu nimekua mtu wa nuksi kila binti ninaeamua kua nae katika uhusiano mwisho wa siku huishia kuniacha au kunisaliti (Kunicheat) najiuliza why? coz ninampa kila anachohitaji kuanzia mapenzi mpaka basic needs n.k.
kilichofanya niandike waraka huu ni binti niliyempata mwaka jana mwezi november ambae alikua tofauti na wengi walionisaliti, yeye alionekana innocent sana kuanzia sura mpaka matendo basi nikasema asante mungu baada ya kusalitiwa na wanawake kama kumi hatimae umenipa binti wa ndoto zangu. Yani akaichukua akili yangu akanifanya nimuamini kupita maelezo, na wiki mbili zilizopita nimetoka kumtolea mahari baada ya kupata ujauzito.
Lakini navyoandika huu ujumbe kwa sasa ni hivi binti huyo nimemfumania live akiwa na tauro tu na njemba jingine kwenye nyumba jirani hapa mtaani kwetu kwa msaada wa wasamaria wema, ki ukweli niliishiwa nguvu na mpaka sasa navoandika sijui nifanye nini maana hata wazazi wa pande zote mbili zijawaeleza kilichotokea na binti analia mda wote anaomba nimsamahe lakini moyo wangu umekua mgumu kumsamehe roho inaniuma sana na nimeanza kupata mashaka uenda mimba siyo yangu.
Sasa hapa nilipo nimechanganykiwa nimenunua mapombe makali ndiyo nakunya 24 hours sijui nifanye nini naumia sana na binti huyu ki ukweli nampenda sana, ndipo nilipomshirikisha rafiki yangu mmoja ndo akanielekeza nije huku jamii forums uenda nikapata njia.
Jamani naombeni ushauri wenu coz nahisi kufa kufa hivi..!
Aisee ndugu, typing error hapo, nimekosea nilimanisha kunywa siyo kunyaukimaliza kunya ntarudi kukushauri ngoja nimalize kula daku kwanza.
unajua tatizo letu wanaume wengi linapokuja suala la kuwa na mpenzi /mwanamke huwa tunakimbilia kuangalia sura au umbile zuri ili tuheshimike mtaani.kimantiki hawa viumbe wa aina hii ni wasumbufu sana wakiringia uzuri wao.issue sio uwezo au kumtimizia wahitaji yote.hawa binadamu ni wadhaifu Mara nyingi kuhimili mikimikiki ya kutongozwa wameumbiwa huruma kama vile sisi wanaume tulivyo dhaifu kwao kimapenzi.hivyo basi tulia tafuta mwanamke kwa vigezo vya maadili,dini,na kujitambua.sio sura au figure, huyo piga chini mimba sio sababu kwani mwenyewe huna uhakika kama ni ya kwako.Habari za mwezi mtukufu wa ramadani!
Mimi ni mgeni humu jamii forums lakini nahisi nyinyi ni watu wenye upendo na ushauri mzuri basi naombeni ushauri wenu.
Sijui nina kasoro gani maana kila ninapopenda natendwa, sijui ni kwanini kwa sababu ninadhani ninavyo almost vitu vyote ambavyo mabinti au wanawake hupenda kwa mwanaume, lakini nashangaa kila mwanamke nimpendae mwisho wa siku huishia kunitenda, kama sio kuniacha basi atanisaliti.
Ngoja kwanza nitoe wasifu wangu, mimi ni kijana wa makamo nina miaka 27 kwa sasa, nina kazi nzuri inayonilipa vizuri mbali na hapo nina biashara zangu binafsi za nyumba na viwanja (real estates) zinazoniingizia si chini ya laki 5 kwa siku namshukuru mungu pesa ya kubadili mboga na mafuta ya gari haisumbui. Pia nimebahatika kupata nafasi ya kuhudhuria gym kila siku tano za wiki hivyo mwili wangu unaonekana vyema na pia sura yangu si nzuri wala si mbaya nadhani nipo kwenye kundi la watu wa kawaida ki mtazamo wa sura. Ukija katika upande wa uanaume ki ukweli namshukuru mungu kanijalia mtarimbo wa maana na show napiga ya uhakika siyo kwamba najisifia ila huo ndo ukweli halisi, kiufupi bao la kwanza hua hata sipumziki naunganisha, (hapo kama nimeenda kavu na binti ninae muamini kiafya).Na kila binti niliyewai kushiriki nae tendo la ndoa hudhihirisha dhahiri ufundi wangu katika shughuli hiyo.
Lakini cha ajabu nimekua mtu wa nuksi kila binti ninaeamua kua nae katika uhusiano mwisho wa siku huishia kuniacha au kunisaliti (Kunicheat) najiuliza why? coz ninampa kila anachohitaji kuanzia mapenzi mpaka basic needs n.k.
kilichofanya niandike waraka huu ni binti niliyempata mwaka jana mwezi november ambae alikua tofauti na wengi walionisaliti, yeye alionekana innocent sana kuanzia sura mpaka matendo basi nikasema asante mungu baada ya kusalitiwa na wanawake kama kumi hatimae umenipa binti wa ndoto zangu. Yani akaichukua akili yangu akanifanya nimuamini kupita maelezo, na wiki mbili zilizopita nimetoka kumtolea mahari baada ya kupata ujauzito.
Lakini navyoandika huu ujumbe kwa sasa ni hivi binti huyo nimemfumania live akiwa na tauro tu na njemba jingine kwenye nyumba jirani hapa mtaani kwetu kwa msaada wa wasamaria wema, ki ukweli niliishiwa nguvu na mpaka sasa navoandika sijui nifanye nini maana hata wazazi wa pande zote mbili zijawaeleza kilichotokea na binti analia mda wote anaomba nimsamahe lakini moyo wangu umekua mgumu kumsamehe roho inaniuma sana na nimeanza kupata mashaka uenda mimba siyo yangu.
Sasa hapa nilipo nimechanganykiwa nimenunua mapombe makali ndiyo nakunywa 24 hours sijui nifanye nini naumia sana na binti huyu ki ukweli nampenda sana, ndipo nilipomshirikisha rafiki yangu mmoja ndo akanielekeza nije huku jamii forums uenda nikapata njia.
Jamani naombeni ushauri wenu coz nahisi kufa kufa hivi..!
Mahari kitu gani. ..achana nae huyo.Inaniuma sana nimetoka kumtolea mahari wiki mbili zilizopita tena mahari kubwa mno si unawajua wachaga tena?
Unajua Mapenzi Ni siri kubwaaaaa!!! Je ukiwa Na mwanamke huwa Unamtreat VP.Kwa Maana ya kauli?? Je unafanya ahisi yeye Ndo yeye?? Maana kwa uliyotaja Ni dhahiri kwamba wanawake wengi wangependa wakumiliki, but inaonekana kauli ya majisifu au kumchukulia mwanamke as Trash, ushauri: mbali Na kuwa Na kipato Jaribu kuwa mnyenyekevu kwa wanawake kwa kauli tulivu Na ya kubembeleza.Mara nyingi wanaume wenye kipato kama wewe huna basi wa naweza kuwafanyia wanawake chochote,mfano,wakati wa tendo unamparamia kama jogooooo, chumbani hakuna kumuandaaa hapo lazima akimbie, au unampatia msaada wowote huku unamsimanga au anakula unamsimanga' mfano.' Kwenu vipo vyakula kama hivi au Sasa unanawiri hukuja ivi au unakuwa arrogant tu bila reason yoyote.Ebu tuanzie hapo kwanza.Mwisho tulia kwanza then uje ulete tangazo humu la kutafuta mchumba but weka vigezo unavyopenda Nakwambia utamsahau Huyo Na mahali samehe.Yeye Ndo ataumia maisha yake yote.Kuhusu Mtoto Endelea kuhudumia akizaliwa Pima DNA au angalia Kucha za miguu kama mnafanana.Asante ndugu yangu, roho yangu inaniuma sana, kwanini majaribu haya? kwann lakini? huyu mwanamke kanitenda mno