Jamani mimi mapenzi tena basi!

kwa jinsi unavojisifia hivi ni lazima madem wakukimbie wewe
 
hizi n stor,,,et anaingiza laki tano kwa siiku..inamaana kwa mwez anaingiza million 15..wewe acha uongo
 
Hayo ni mapito yupo mwanamke mungu alie kupangia na ata kupenda na kukuheshimu sana jipe moyo muombe mungu ata kusaidia inasikitisha sana usaliti sio k2 kizur
 
Kweli dunia kizunguzungu wanawake tunapata shida....wanaume nanyi shida basi tu taflani mtindo mmoja ....muombe mungu tu kila kitu kitakua sawa
 
Endelea kunywa kunywa pombe mawazo yapungue sawa kaka
 
Ni PM kama kijana mwenzio tubadilishane mawazo unipe uzoefu wa kupata hela kama kijana mwenzio ili niweze kupata mafanikio kama yako ya kuingiza laki tano kwa siku,na mm nikupe maujuzi ya kuishi na Hawa viumbe ambao mwalimu wao ni kipofu...
 
I think I’m ‘bout to lose it man
Said I’m ‘bout to go Gucci Mane
In the trap still countin’ change
Don’t *** with y’all ‘cause you niggas lame
Said I’m ‘bout to go Gucci Mane
Said I’m ‘bout to go Gucci Mane
On the choppa rant
On the choppa rant
 
Seriously,skushauri urudiane na huyo binti. .cha msingi we muudumie paka ajifungue,then umpime dna mtoto,wanawake sio wa kuwaamini 100%,muombe mungu sana kwenye hayo Maputo, ila huyo tupa
 
Pombe sio suluhu utajikuta unaishia kuwa addicted to it.Pengine kuna tatizo mahali maana haiwezekan katika kudate hao wanawake wote waishie kukusaliti jiweke chini na ujiulize na kama ikiwezekana tafuta x wako mmoja uongee nae kirafiki pengine atakusaidia..Na kuhusu ujauzito hapo sidhan kama kuna shaka after all mtoto atazaliwa na utamuona na kuna vipimo mkuu labda vitakusaidia kugundua kama ni wako au si wako.Ucjipe mawazo sana
 
Inasikitisha sana..

Tatizo lako ni kubwa sana...huna kauli nzuri.. Unatabia za majigambo na majivuno ndiyo maana hukai na mwanamke... Na pia inaonekana una gubu sana...


Cc: mahondaw
 
Yani kama umemuona mwenyewe yupo na taulo tena kwa njemba,
Jirani Licha ya kuambikizwa magonjwa ukimuoa utakua umemuolea jirani we una hudumia jamaa anakula mpaka maini
 
achana na pombe na uyo mwanamke mrudishe kwa wazazi wake akaseme mimba ni ya nani
hakuna anayependa mtoto wa nje ujinga kama huo ukishatokea hakuna option zaidi yakumove on
hajieshimu wala hakueshimu anacheat na uko around+mimba ukisafiri c ndo ataolewa au yuko under 15
 
Laki tano kwa siku mhhh??unataka kutuaminisha kuwa we ni milionea?
Hayaa wako wapi waleee wa mapenzi ni pesaa...
Mapenzi ukiwaza sanaaa unaweza data
Kuwa na wanawake wawili ama watatu at once,wapange wawe wanakupungizia stress,kuwa busy na kazi zako, usimworship sana mwanamke...
Otherwise omba Mungu yawezekana kuna jambo la kiroho linakuzuia ama simply huyo sio mkeo
 
Huyo mwanamke ana umri gani? Maana umri wakati mwingine huwa ni shida. Wanaweke wenye umri kuanzia 26 wengi huwa wametulia kidogo.
 
Pole sana kwa yaliyokusibu Mungu atakusaidia
 
Unakua bize na biashara. MPE haki take imtoshe au hujui kutumia kiungo chako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…