Wana-JF kumekucha!
Kuna story zinasambaa kwa kasi sana ktk vitongoji vya Kibaha, sana sana kuanzia Kibaha Mpakani, Kibaha Maili Moja, Kibaha Pangani, Kibaha Machinjioni, Kibaha Picha ya ndeg, Shell mpaka Picha ya Ndege, kuwa kuna mtu anajulikana kama Michael Dada, anabaka watoto, wa kike kwa wa kiume, watoto wadogo wa shule za msingi!
"Michael Dada" ameingiza hofu miongoni mwa wazazi na walezi, hasa kutokana na ukweli kuhusu habari za huyu mtu umekuwa mgumu kupatikana coz kuna wanaosema ni kikundi, kuna wanaosema ni mtu halisi tena ni mmoja, kuna wanaosema jini, wengine wanasema mtu wa jinsia -me na anapendelea kuvaa baibui! Kinachoshangaza wengi pia ni uwezo wake wa kubaka hata watoto wa5 kwa siku moja tena katika maeneo tofauti tofauti!
Mwenye details za kutosha kuhusu huyu mtu, hasa hasa wakazi wa KIBAHA NA maeneo niliyoyataja hapo juu, mtupe taarifa kamili kwa anaejua.
Swali kwako,Je,umewahi kumwona kwa macho yako na kumhoji mtoto yeyote aliebakwa?? Uzushi huo.
Wana-JF kumekucha!
Kuna story zinasambaa kwa kasi sana ktk vitongoji vya Kibaha, sana sana kuanzia Kibaha Mpakani, Kibaha Maili Moja, Kibaha Pangani, Kibaha Machinjioni, Kibaha Picha ya ndeg, Shell mpaka Picha ya Ndege, kuwa kuna mtu anajulikana kama Michael Dada, anabaka watoto, wa kike kwa wa kiume, watoto wadogo wa shule za msingi!
"Michael Dada" ameingiza hofu miongoni mwa wazazi na walezi, hasa kutokana na ukweli kuhusu habari za huyu mtu umekuwa mgumu kupatikana coz kuna wanaosema ni kikundi, kuna wanaosema ni mtu halisi tena ni mmoja, kuna wanaosema jini, wengine wanasema mtu wa jinsia -me na anapendelea kuvaa baibui! Kinachoshangaza wengi pia ni uwezo wake wa kubaka hata watoto wa5 kwa siku moja tena katika maeneo tofauti tofauti!
Mwenye details za kutosha kuhusu huyu mtu, hasa hasa wakazi wa KIBAHA NA maeneo niliyoyataja hapo juu, mtupe taarifa kamili kwa anaejua.
toa ufafanuzi wa kutosha na sisi tupate habari kamili, kama kuna mtu amebakwa atasema kuwa alibakwa na mtu au watu, kama ni me au ke, sio umepata habari kipande unawaka kuleta humu jukwaani kwanim wengine tunaamin itakuwa imehakikiwa kwa kina na great mwenzetu . ..... take time to make research first......
Wazazi washirikiane wamwekee doria atakamatwa mara moja;
hayo siyo mambo ya kupuuziwa.
"HAYO NI MAMBO YAKE BINAFSI"no probem wic rapist