Jamani mi nataka ushauri nifanyaje

Jamani mi nataka ushauri nifanyaje

MADESI

Member
Joined
Feb 8, 2013
Posts
27
Reaction score
7
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 22 .nina rafiki yangu ambaye tumek pamoja tangu utoto mpaka tunakuwa wakubwa na tulitokea kuzama ktk mapenzi baada ya kuwa wakubwa ingawa no sexual act have been done kati yetu.kiukweli tulipendana.lakini baadaye niligundua kuwa yeye ni mkubwa kwangu by 2 yrs na mim sikutaka kuoa msichana mkubwa kwangu. baada ya muda nikajikuta nimependa msichana mwingine na nataka nijenge naye future yaani nimempenda sana. But here is the problem yule wa kwanza anafight nimwoe na sijawahi kumwambia kuwa nimempata mwingine ila nimewahi mwambia kuwa nataka msichana wa umri wangu na alilia kwa uchungu sana ikabid nimpoze kwa kumwambia it is okay, na huyu wa pili nimemwambia ntamwoa akimaliza shule
please advice!
natanguliza shukrani
 
oa unaempenda kk... hayo machozi ya huyo binti kawaida sana, wengi wanajiliza tu!!!
 
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 22 .nina rafiki yangu ambaye tumek pamoja tangu utoto mpaka tunakuwa wakubwa na tulitokea kuzama ktk mapenzi baada ya kuwa wakubwa ingawa no sexual act have been done kati yetu.kiukweli tulipendana.lakini baadaye niligundua kuwa yeye ni mkubwa kwangu by 2 yrs na mim sikutaka kuoa msichana mkubwa kwangu. baada ya muda nikajikuta nimependa msichana mwingine na nataka nijenge naye future yaani nimempenda sana. But here is the problem yule wa kwanza anafight nimwoe na sijawahi kumwambia kuwa nimempata mwingine ila nimewahi mwambia kuwa nataka msichana wa umri wangu na alilia kwa uchungu sana ikabid nimpoze kwa kumwambia it is okay, na huyu wa pili nimemwambia ntamwoa akimaliza shule
please advice!
natanguliza shukrani

Uzi wako umekaakaa kitoto kitoto sana.
 
Miaka 22? Naona una safari ndefu mpaka ufikie kuoa..!

Tulia kwanza..Mambo yatajipa huko mbeleni..!
 
Jibu unalo mkuu ila unatafuta justification tu,ngoja nikupe hiyo justification

If you will ever be in a dilemma where by u have to choose between the two choices, then always go for the second one and leave the first one because you wouldn't have the second choice if your desires were met by the first choice
 
Miaka 22 unawaza kuoa??????

Halafu unadhani umri ndio kigezo muhimu saaaaaaaana cha ndoa?

Halafu hao mabinti unadhani unawapenda? Au mihemko tu na utoto?
 
Kua kwanza,muda muafaka wa kuoa ukifika utagundua hamna kikwazo hapo.
 
da kwa kweli unawezopoteza pendo la dhati halafu ukupenda ambako hakupendeki lkn unauhakika wowote kuwa yule wa kwanza bado ni virgin
 
Mimi nakushauri wagegede wote kwanza mtamu sana ndo u speculate kua utamuoa
 
na imagine ningeolewa na miaka 22, ingekuwa nightmare ya maisha aisee.

Miaka 22 unawaza kuoa??????

Halafu unadhani umri ndio kigezo muhimu saaaaaaaana cha ndoa?

Halafu hao mabinti unadhani unawapenda? Au mihemko tu na utoto?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom