hearly JF-Expert Member Joined Jun 19, 2014 Posts 51,502 Reaction score 73,671 Dec 10, 2019 #21 Bila,shaka Mr.Junior said: Shule zimefungwa? Click to expand...
hearly JF-Expert Member Joined Jun 19, 2014 Posts 51,502 Reaction score 73,671 Dec 10, 2019 #22 Hahaa Gucci gang said: Hio conversation utafuta vitu vyooote lakini hiyo huwezi.. Click to expand...
Darmian JF-Expert Member Joined Oct 1, 2017 Posts 17,299 Reaction score 46,753 Dec 10, 2019 #23 Gucci gang said: Hio conversation utafuta vitu vyooote lakini hiyo huwezi.. Click to expand... Hahaha Hata mimi nina convo moja siifuti kabisa..ni ile ambayo mtu hukuitegemea kabisa
Gucci gang said: Hio conversation utafuta vitu vyooote lakini hiyo huwezi.. Click to expand... Hahaha Hata mimi nina convo moja siifuti kabisa..ni ile ambayo mtu hukuitegemea kabisa
Sukari Yenu JF-Expert Member Joined Dec 8, 2014 Posts 1,698 Reaction score 1,260 Dec 10, 2019 Thread starter #24 Ndio Sad Larry said: Click to expand...
Sukari Yenu JF-Expert Member Joined Dec 8, 2014 Posts 1,698 Reaction score 1,260 Dec 10, 2019 Thread starter #25 Sawa KingY said: Akizingua ulete mrejesho pia Click to expand...
Sukari Yenu JF-Expert Member Joined Dec 8, 2014 Posts 1,698 Reaction score 1,260 Dec 10, 2019 Thread starter #26 Kausha mzee blogger said: Unaitwa 'babe' nawe unajibu 'babe' Kesho utaitwa 'bae' nawe utajibu 'bae' Keshokutwa 'my' nawe utajibu ' my'... Alafu unatarajia siku moja nawe uwe Baba.!!!??? Click to expand...
Kausha mzee blogger said: Unaitwa 'babe' nawe unajibu 'babe' Kesho utaitwa 'bae' nawe utajibu 'bae' Keshokutwa 'my' nawe utajibu ' my'... Alafu unatarajia siku moja nawe uwe Baba.!!!??? Click to expand...
Finegirlone JF-Expert Member Joined Oct 9, 2018 Posts 1,836 Reaction score 3,616 Dec 10, 2019 #27 baadhi ya wachangiaji mnanishangaza mnaona mleta uzi ana mambo ya kitoto wakati ni vitu vya kawaida kwa wapendanao, mtasema nyinyi hamfanyi!
baadhi ya wachangiaji mnanishangaza mnaona mleta uzi ana mambo ya kitoto wakati ni vitu vya kawaida kwa wapendanao, mtasema nyinyi hamfanyi!
Salhat Senior Member Joined Oct 14, 2018 Posts 182 Reaction score 417 Dec 10, 2019 #28 Mr.Junior said: Shule zimefungwa? Click to expand... Yan January ifke tu haraka
W Wise E JF-Expert Member Joined May 10, 2019 Posts 952 Reaction score 1,021 Dec 10, 2019 #29 Hammaz said: 😂😂😂😂😂😂😂 Wewe jamaa ni Mafia. Click to expand... ha ha jamii forum watu wana akili nyingi sana
Hammaz said: 😂😂😂😂😂😂😂 Wewe jamaa ni Mafia. Click to expand... ha ha jamii forum watu wana akili nyingi sana
Hornet JF-Expert Member Joined Apr 29, 2013 Posts 26,845 Reaction score 52,251 Dec 10, 2019 #30 umefika xhuo umepata mtoto anakuxhuna boom
luckyline JF-Expert Member Joined Aug 29, 2014 Posts 15,153 Reaction score 21,788 Dec 10, 2019 #31 Hata kama ni chai ila tu SMS kama Hutu ni tutamu tunakufanya usahau hata deni.😂😂
MLEVi Mmoja JF-Expert Member Joined Jun 29, 2019 Posts 8,512 Reaction score 15,094 Dec 11, 2019 #32 December to remember
Kendrick Rama JF-Expert Member Joined May 22, 2019 Posts 409 Reaction score 458 Dec 11, 2019 #33 usisahau kutuonesha na zile za miamala 😅
samir nassir JF-Expert Member Joined Feb 5, 2017 Posts 1,119 Reaction score 1,478 Dec 11, 2019 #34 Babe kirefu chake beberu
Sukari Yenu JF-Expert Member Joined Dec 8, 2014 Posts 1,698 Reaction score 1,260 Dec 11, 2019 Thread starter #35 Umeandika nini dada? Hornet said: umefika xhuo umepata mtoto anakuxhuna boom Click to expand...
Sukari Yenu JF-Expert Member Joined Dec 8, 2014 Posts 1,698 Reaction score 1,260 Dec 11, 2019 Thread starter #36 Mafamba sana hawa watu. Wanajifanya wagumu lhera said: baadhi ya wachangiaji mnanishangaza mnaona mleta uzi ana mambo ya kitoto wakati ni vitu vya kawaida kwa wapendanao, mtasema nyinyi hamfanyi! Click to expand...
Mafamba sana hawa watu. Wanajifanya wagumu lhera said: baadhi ya wachangiaji mnanishangaza mnaona mleta uzi ana mambo ya kitoto wakati ni vitu vya kawaida kwa wapendanao, mtasema nyinyi hamfanyi! Click to expand...
Hornet JF-Expert Member Joined Apr 29, 2013 Posts 26,845 Reaction score 52,251 Dec 11, 2019 #37 Sukari Yenu said: Umeandika nini dada? Click to expand... hahaahahaaa nanata na beat
Breki ya Kenge JF-Expert Member Joined Jul 14, 2019 Posts 715 Reaction score 1,006 Dec 11, 2019 #38 Hornet said: umefika xhuo umepata mtoto anakuxhuna boom Click to expand... Ndio nini hii umeandika
Hornet JF-Expert Member Joined Apr 29, 2013 Posts 26,845 Reaction score 52,251 Dec 11, 2019 #39 Breki ya Kenge said: Ndio nini hii umeandika Click to expand... mwenyewe kaelewa si ndiyo miandiko yao
Breki ya Kenge said: Ndio nini hii umeandika Click to expand... mwenyewe kaelewa si ndiyo miandiko yao
Northman JF-Expert Member Joined Dec 22, 2016 Posts 1,587 Reaction score 2,518 Dec 11, 2019 #40 Mr.Junior said: Shule zimefungwa? Click to expand... Tayari vimerudi likizo