Jamani mbona hunambii, niambie basii!!

Beira Boy

JF-Expert Member
Aug 7, 2016
18,716
28,623
Ni maneno ya manzi fulan kutoka pande hizi za mitaa ya uzunguni hapa dom, kwanza yaan juz nilikutana naye nikamusalimia tu fresh naye akanisalimu bila kinyongo sikusita kichukua namba, mtoto wa kiume yule manz nikamupa simu akandika tarakimu za namba

Sasa kuanzia hiyo juz nachat naye tu kawaida lakin yaan akituma msg baada ya dakika mbili hujajibu analamika sana ukituma msg moja yeye anatuma tano mara i mic u sijui uko mchesh sana we kaka yaan uko mpole sana alafu huna malingo kama wakaka wengine

Sasa leo asubuh kanambia et jana hajalala kwa ajili yangu kwahiyo anaomba nimwambie, sasa mimi nimekaa nikijiuliza sana nimwambie kitu gan huyu mtoto wa kishua kitu mang'ang'u toto toto kweli yaan roho yangu inafikiria sana nimwambie nini huyu mtoto

Kila mda anatuma msg akidai nimwambie, yaan anatuma kama ifuatavyo,
Nambie bac jaman my,
Mbona hivyo,
Si unambie lakin,
Unajua mimi jana sijalala kwa ajili yako,
Yaan nikifikilia jinsi ulivyo na picha zako ulizonitumia WhatsApp ndo unanimaliza kabisa my,
Mimi sitaki naomba unambie

sasa masela nimwambie nini huyu mtoto hebu nipen kaushauli kenu,
Nimeamua niwaletee na nyie huu mkasa maana kwenu hajiwahi kushindikana kitu kuhusu ushauli, anataka nimwambie nini huyu manzi
 
mwambie MAN U wameifanyia booking nafasi ya 6

Lazima akuelewe acha uzito
 
Mkuu usikose mrejesho, Kuna mwenzio alimtokea mtoto wa kishua.

Msela : Oya dada inakuwaje pande za wapi wewe mbona mrembo sana kama Jlo.

Mtoto wa kishua : Asante kaka kwani vipi unatafuta kazi?

Msela : Hapana unajua kukuona umenifanya kuzishtua hisia zangu za moyoni.

Mtoto wa kishua : Hee we kinyago uso mbaya kama chapati ya mamantilie, hata kazi ya nyumba hupati seuze mapenzi. Nenda huko

Msela : Na wewe kwenda huko miguu imekwenda upande kama dereva wa bodaboda.


Ndukiiiii
 
Mkuu inaelekea wewe hauna Testosterone alafu ni Phenotypical Male
Lugha ya malikia ni ugonjwa kwangu jalibu kutumia angalau lugha yetu ile ya chato kama kiswahili kwako ni shida
 
Back
Top Bottom