Jamani mbona hela ya field hatujapata????,,

Jamani mbona hela ya field hatujapata????,,

maharco

Senior Member
Joined
Nov 28, 2015
Posts
116
Reaction score
35
Yaaani haya majanga wenzetu wanategemea kupata ya pili sisi hata ya kwanza bado
 
Duh nyie mmeikosea nin serikali? chuo gan mbona saiv almost vyuo vyote wamepatiwa first installment? mkuu
 
We unalia hela za field wengene wanalia ajira.

Hatunywi sumu hatujiui tuliependa wenyewe
 
Back
Top Bottom