Jamani mbona hawa mateja wamefikia hatua hii lakini..................................... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani mbona hawa mateja wamefikia hatua hii lakini.....................................

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by white wizard, Jun 11, 2011.

 1. w

  white wizard JF-Expert Member

  #1
  Jun 11, 2011
  Joined: May 18, 2011
  Messages: 2,462
  Likes Received: 748
  Trophy Points: 280
  Kwa kweli nilichokiona leo,sikuamini!wengine wanalilia ulijali kumbe kuna watu hawana shida nao!leo maeneo ya magomeni,kuna teja[mtumiaji madawa ya kulevya}mmoja,sijui kama atapona! amekuwa akitumia madawa ya kulevya kwa kujidunga sindano kwa muda mrefu sana,imefikia hatua mishipa yote ktk mwili hususani mikononi na miguuni imepotea hata akiipiga vipi ili isimame ajidunge sindano haionekani!Sasa akapata maarifa mengine ya kuwa anasimamisha mashine yake[uume wake]anaufunga kamba unasimama ipasavyo misuli yote inaonekana ndipo anajipiga sindano yenye madawa,sasa leo sijui amekosea mshipa!nimempita watu wanamshangaa hajitambui huku bomba la sindano linaning'ing'ia kwenye uume.KWELI NIMEAMINI ULE MSEMO USEMAO WEWE UNASEMA CHA NINI WENGINE WANAWAZA WATAKIPATA LINI,:redfaces:
   
 2. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #2
  Jun 12, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,916
  Likes Received: 216
  Trophy Points: 160
  Hii mbaya sana, Kha!!
   
Loading...