Jamani mapenzi yanaumiza kichwa

Weee mpende kila siku.. Hakuna cha surprise wala nini... Akizoea surprise usipo msurprise inakuwa tabu tena.. Ooh, mpz siku hizi hunipendi hunisapraizi!

Mimi niliulizwa mbona siku hizi hunipigii na ilhali wewe(mimi) unanipigia mm(yeye) simu bure.
 
Najuuuuuuta kufungua kusoma huu uzi hapa......nacheka mwenyewe kama mwehu!hata sieleweki jamani nyie mnao comment mmenivunja mbavu aluuuu
 
Rudia tena kumtongoza, apo utakuwa umemfanyia bonge la surprise
 
Najuuuuuuta kufungua kusoma huu uzi hapa......nacheka mwenyewe kama mwehu!hata sieleweki jamani nyie mnao comment mmenivunja mbavu aluuuu

Yummy,mara ya mwisho mpenzi wako aliku surprise na nini? Uli appreciate?
 
Last edited by a moderator:
mwambie umemtia mimba rafiki yake kipenzi na unaomba akusamehe kwa hilo
 
Nina mpenz wang ambae anaitwa happy ninataka nimfanyie surprise ila nashndwa nimfanyie surprise gani! Nisaidieni kwa hilo jamani

Usipende kumzoesha mambo suprise suprise. Muache akupende naturally. Utaumiza kichwa na suprise za kumfanya akupende, ila utashangaa yeye akiku-suprise kwa kukuacha kwenye mataa bila huruma.
 
mnunulie Dildo halafu mwambie huyo ndio sub wako pekee ole wake uhisi katoka nje! halafu mchimbe biti aache kuangalia movie za kinaijeria na kiswahili kwa ujumla!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom