kwamtoro JF-Expert Member Joined Nov 15, 2010 Posts 4,922 Reaction score 3,245 Apr 17, 2013 #1 Mpaka ufikia mtu kuitelekeza familia yake, kunywa sumu na kujiua. Embu oneni mapenzi
saudari JF-Expert Member Joined Dec 26, 2012 Posts 2,655 Reaction score 2,783 Apr 17, 2013 #2 Jamaa anampigia magoti HG ili aende akapike chakula cha mchana. Si unajua watoto wa mama tena, hata kupika hawajui?
Jamaa anampigia magoti HG ili aende akapike chakula cha mchana. Si unajua watoto wa mama tena, hata kupika hawajui?
M mzabzab JF-Expert Member Joined Aug 18, 2011 Posts 46,269 Reaction score 90,775 Apr 17, 2013 #3 imenikumbusha mbali kweli hii picha...nakumbuka wakati huo ndio kwanza naanza kuingia kwenye game la kugegedana...nilimpigia demu magoti ili nione chuchu zake hahaha
imenikumbusha mbali kweli hii picha...nakumbuka wakati huo ndio kwanza naanza kuingia kwenye game la kugegedana...nilimpigia demu magoti ili nione chuchu zake hahaha
Mtingaji JF-Expert Member Joined Sep 28, 2012 Posts 1,223 Reaction score 367 Apr 17, 2013 #4 Huyu jamaa anahofu kunyimwa pa kupumzikia, hana chumba anategemea cha demu!
M Mwanaweja JF-Expert Member Joined Feb 8, 2011 Posts 3,575 Reaction score 528 Apr 17, 2013 #5 mapenzi kizungu zungu ila ndio maisha
Gefu JF-Expert Member Joined Nov 30, 2010 Posts 6,929 Reaction score 2,567 Apr 17, 2013 #6 ..kwani mapenzi ni kitu...?