Jamani maloan officer mnalaana

Jamani maloan officer mnalaana

chubwiii

Member
Joined
Jan 5, 2014
Posts
21
Reaction score
2
Jamani kuna kazi mtu ukiingia ni lazima uwe mhuni au ni tabia za watu. Huyu demu wangu kila siku anaingia kitaa sa tatu usiku then analetwa na lifti ya workmate wake tena wa kiume sasa nimejalibu kuchunguza 98% ya muda wao wa kazi wako pamoja mpaka lunch kila siku vikao. Jumapili moja sasa ambayo ndo moyo wangu uliumia ni pale nilipokuta wako eneo la starehe na jamaa wakila cone tena wako wenyewe bila maoficer wengine kujakumuuliza kanidanganya eti alikuwa kwenye kikaoo wakubwa zake walikuja. Embu ushauri jamani nijiondokee taratibu au nimweleze ukweli
 
muhomakilo jr nadhani hujawahi penda, nilitamani niingilie kati yao ila kutokana na ninavyo mpenda na kumweshimu niliamua kukaa kimya na kuludi nyumbani. ila sidhani kama ntaweza vumulia bora nisake mihela yangu nimwache ataamua mwenyewe baada ya kuona kimya kirefu.
 
Ndio tatizo la mwanamke kuwa na kipato kikubwa anakuwa huru sana.
 
Mhhhhhhh!Mkuu epusha maumivu utakayoyapata huko siku za usoni.
 
nani kakudanganya kuwa watu kama hawa wanachelewa kurudi
muda wa kazi ukiisha ndio wote wanaondoka na hamna kazi inayofanyikia eneo la starehe
ukiona hivyo ujue ana mtu subili kuona movie yenyewe
 
Jamani kuna kazi mtu ukiingia ni lazima uwe mhuni au ni tabia za watu. Huyu demu wangu kila siku anaingia kitaa sa tatu usiku then analetwa na lifti ya workmate wake tena wa kiume sasa nimejalibu kuchunguza 98% ya muda wao wa kazi wako pamoja mpaka lunch kila siku vikao. Jumapili moja sasa ambayo ndo moyo wangu uliumia ni pale nilipokuta wako eneo la starehe na jamaa wakila cone tena wako wenyewe bila maoficer wengine kujakumuuliza kanidanganya eti alikuwa kwenye kikaoo wakubwa zake walikuja. Embu ushauri jamani nijiondokee taratibu au nimweleze ukweli

Hapo tatizo ni loan officers au mchuchu wako?
 
..pole sana mkuu na suala la kusaka pesa kwanza ndo mpango mzima, jiengue taratibu na futa usemi hapo juu kwamba wana LAANA, manake haipingi palipo na PESA ndipo wapatikanapo warembo wa kizazi hiki..
 
Usisingizie maloan oficer ni demu wako nio mwenyeshida full stop

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Sijui nimemwelewa vibaya!
Loan officer na mchuchu wangu kurudi late home wapi na wapi? Nikupe njia ya kumkamata mwongo wako. Akirudi tu usimpe nafasi ya kuoga. Funga lango mvue pichu cheki papuchi.
Imelowa lowa; usiseme naye, tokezea mlangoni usirudi tena hapo. Kama ni kwako hapo mpe ruhusa kulala hapo kwa kuwa unampenda sana, morning just say bye bye and do not come back. Aondoke na malboro yake ikiwa na vyake vyote.
Umeelewa mkuu. Acha kulialia humu jf
 
ni umasikini tuu ila ukweli kabisa mke yafaa akae nyumbani alee familia!!!!halafu sijapata ona tajiri ambaye mke wake ameajiriwa,watu wote waliofanikiwa ktk maisha wake zao sii waajiriwa
 
dah inauma nimetoka nae mbali tatizo watu wanaona kila anaepost anatania mjifunzeni
 
Mkuu yani bado upo umesimama?anangoja upewe amri?Mimi nikisikia tetesi tu anatokea mlango alioingia nao!
 
Nahttps://www.jamiiforums.com/images/styles/JamiiForums/smilies/clap2.gif Kabisa nakuunga mkono na nimetoka kuambiwa na mtu mzima just now
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom