jamani Magufuli atutesa wanasiasa msaada wenu

fieldmashal

Member
Joined
Nov 22, 2015
Posts
78
Reaction score
3
Siku chache baada uchaguzi kuisha wanafunzi wa vyuo vikuu hasa wanaoendelea na masomo wamekosa mikopo swali wakati wa kampeni zake ukiwa morogoro uliwahi sema namnukuu"najuwa hapa morogoro kuna vyuo vingi sana swala la mikopo nitalishugulikia tena anaye gawa hii mikopo hiiiiiiiiiiiiiiiiii ajiandae haiwezekani mwanafunzi akose mkopo tena mkopo jamani najuwa humu kunawanasiasa tunaomba msaada wenu
 
pia mfahamu haya ndiyo maisha baada ya uchaguzi, kumbe mlikuwa hamjafamu.
 
kuzaa azae nani kusomesha asomeshe mwingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…