Zipo kwenye minada bei sawa na bure buku jero tuNatumai mko poa.
View attachment 365232
Jamani magagulo yamepotelea wapi ....... Nadhani wale wa umri wangu wanalikumbuka hili vazi la siri na la heshima sana enzi hizo.
Huwezi kumkuta mdada au mmama hajalivaa hilo vazi la sirini,hivi yamekuwaje tena hayaonikani wala kuvaliwa na sababu ya kutokuyavaa ni nini ....... wakuu hebu tufahamishane kuhusu hili vazi.
Nakumbuka utoto wangu nikikosea kuvunua sehemu nisiyoelekezwa, basi Bibi ataniambi wewe utakuja kufunua hadi Gagulo la mkweo,kwa jinsi hili vazi lilivyokuwa la heshima na la siri.
Tuambiane wakuu kulikoni Magagulo.
Ila liliheshimika sana.Mabadiliko ya tabia nchi ndio yamelipoteza, huoni hata pichu za siku hizi ni tofauti na za zamani? siku hizi kamba kamba tu si bukta tena.
Safi sana.Mimi ninayo siwezi vaa gauni bila hiyo kitu[emoji21]
Ilikuwa burudani sana,njiani mnasimuliana Gagulo la Eva rangi ya bluu mwingine anasema la Fatuma la rangi ya njano.Dah! Magagulo! Umenikumbusha mbali sana, enzi za kupenda kwenda kushangilia netball, siku hizi haina tena ladha hiyo netball yenyewe, maana wanavaa ma skintight, wakiruka juu hata motisha hakuna!
Hebu tutafutie tuuone ili kama vipi tuchangie.Out of fashion, picchu AKA will also be out of fashion very soon. Nadhani umesikia warembo siku hizi wakienda kujirusha hawavai picchu wanadai papuchi nayo ina haki ya kupata hewa safi oxygen. Kuliwahi kuwa na uzi humu ambao ulihusu gagulo na wadada wengi humu walichangia sana.
Nimeelezea hivo kwa sababu hata kwenye kamba za kuanikia nguo sizioni,wakati "pichu" naziona.yapo samsun huwezi kuyaona maana ni vazi la ndani labda kama unachungulia chungulia sana
Ni kweli,uzuri wa hayo makitu yasitokeze kwa chini inatakiwa ukivaa mtu asijue kama umetupiamo Gagulo.Mie huwa napenda kuvaa mini gown na skirt. Ikitokea nimevaa skirt au gauni ambalo litaonyesha kyupi hasa nikiwa nimesimama kwenye mwanga yaani kama ntaonekana transparent lazima nitupie gagulo. Sipendi kuvaa skin tite na ndo hadi leo naendeleza gagulo. Ila hata nikikaa gauni refu transparent ntatupiamo gagulo fupi.
Kinachonikera kuhusu magagulo ni pale gagulo linapochungulia chini ya sketi au gauni.
Kasie.
Mbona Gagulo kama upo kibiashara ndio zuri, maana wanaweza kuvaa lenyewe tu bila ya sketi.Siku hizi wanawake wetu wanasema hawataki kunyanyaswa, biashara ni kujitangaza kama hayo magagulo ni mali basi yapelekwe uarabuni wanawake wa huko wanunue.
Ndo ilikua tabia yako kumbe eeDah! Magagulo! Umenikumbusha mbali sana, enzi za kupenda kwenda kushangilia netball, siku hizi haina tena ladha hiyo netball yenyewe, maana wanavaa ma skintight, wakiruka juu hata motisha hakuna!
Jamani,si kamotisha tu!Ndo ilikua tabia yako kumbe ee
Teh haya buanaJamani,si kamotisha tu!