Jamani Madonna!

Haaa haa eti vitako kama ngumi ya mtoto..JF raha sana
 
Anabishana na umri...
.... Eti badoo..... Anaji'pretend ni mdada.....
 
kama Faiza ....................................๐Ÿ™‚๐Ÿ™‚๐Ÿ™‚๐Ÿ™‚๐Ÿ™‚
 
Sasa kina shilole wakimuona huyu ajuza anavyofanya hivyo basi wanajiona wenyewe ndio saa 6 mchana.
 
He he, huyu ndo Madonna bana. Akikua ataacha. ๐Ÿ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ