Jamani, Kwanini Bibi Harusi analia!

nina siku nyingi sijaona bibi harusi amelia
 
Hivi bado kuna akina dada wanaolia siku ya send off?? sijaona kitambo sana ndio maana nashangaa!
 

Ukifikiria kuachana na nyumbani kwenu na kwenda kuishi kwa watu tena hujui kukoje huwezi ukawa na furaha ata kidogo
 
wanaume mnashangaza inakuwaje akili yote mnaielekeza kwenye ngono tu mambo ya kulia ni mengi sana wakubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…