Jamani kugegeda nje ni balaa!!

Jerrymsigwa

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2012
Posts
14,085
Reaction score
8,409
Nikiwa nimeketi pembezoni mwa simu yangu na kumsikiliza mkurugenzi wa Ocean Road Cancer Clinic Prof Twaalib Ngoma mda mchache uliopita kupitia Times Fm nimeshtuka na kuogopa.

Ni kuhusu kufanya mapenzi kunakoambukiza virusi vya cancer ya shingo ya uzazi kwa wanawake, Hatari!!

Chanzo cha kansa hii ni kujamiiana mwanaume kuwa ndio m-bebaji kutoka mwanamke A kwenda B. East africa tz ndio vinara wa hii maneno kwa sababu ya tabia zetu za kuwa na wapenzi wengi.

Bahati mbaya hawa virusi hawaoneshi dalili mapema mpk stage mbaya. Imagine prof kasema 90% ya akina mama wanaenda kupima wanakutwa nayo..shocking!!

Dalili
1. Kutoka damu wakati wa tendo
2. Kutokwa uchafu unaonuka mara kwa mara
3. Miguu kuvimba
Na nyingine sizikumbuki

Cha msingi ni kupima kwa sababu virusi wengi wanaishi miaka hata 15jabka ya kuonesha dalili za kufanya mtu ushindwe kuperform duties za kawaida


Tiba
Ili kupata tiba ni vyema ukapimwa ili ikiwa bado iko kwa stage ndogo unapewa tiba kwa kutumia ice burning.
Kwa stage ndogo, ikiwa stage kubwa sijui inakuwaje but obvious ni kifo

Kupima:
Hospitali zote wanaweza kuitambua hawa virusi kwani wanatumia vinegal kuweka ktk shingo ya kizazi na kuangalia mabadiliko ya reaction ya vinegal na virusi (itabadili rangi ikiwa wapo)


Mi sio doctor ni maneno ya huyo boss wa ocean road,nililoona niwahusishe jukwaa namba 1 kwa kupendwa ni kuwa tujihadhari sio ukimwi tu, tusijeua wake zetu kwa tamaa na ulafi wa mgegedo!
 
Mmmh! Jamani mbona hatari hii! Asante kwa taarifa
 
Asante kwa taarifa! Jaman wanawake kazi tunayo, eeeee Mungu tusaidie
 
Kila kitu saivi ni sumu hata maji ya Kunywa hayafai kwakuwa tumeacha ulimwengu wa vitu asilia tunashindana kutumia vya kemikali
 
Kifo hakikwepeki. Unaweza kwepa kugegeda na bado ukafa kwa Malaria ama hata kugongwa na bodaboda.

Wote tutakufa, iwe ni kwa Ukimwi, malaria ama kansa. Ukipata fursa itumie. Haina rivasi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…