Jamani kufanana huku.......................... ..................

Jamani kufanana huku.......................... ..................

Q.L

Member
Joined
Apr 14, 2013
Posts
57
Reaction score
10
Habari zenu wana jf.....

Nina rafiki yangu ambaye ni msichana, kwa kweli ni mzuri sana na kama kajaliwa, kweli ni ka jaliwa kwa uzuri aliopewa na Mola, rafiki yangu uyu, yeye ni wa wale wa mura, ana mchumba wake ambaye nae ni mjita, na wanapendana sana.
Ila shughuli inakuja ni kwamba wamefanana sana kiasi kwamba kila atakaye waona pamoja hufikiri kuwa wao ni ndugu yani kaka na dada.
Sasa wameanza kuwa na wasiwasi wakifikiri kuwa kuna uwezekano wakawa ndugu ingawa kila mmoja ana baba na mama yake, Jamani wanaomba ushauri wenu wafanyaje?
 
Ushauri wa nini sasa, kwamba wabadilishe sura??!!!
 
Q.L

Labda nianze kwa swali, wana wasiwasi kuwa wao ni ndugu as in "siblings" or just ndugu wa kawaida wa mbali ? Either way why dont they start by asking their respective parents? If that fails wajikite kwenye DNA testing maybe :shock:!
 
Wanafkr yakua wanaweza wakawa ndugu wa mbali lakn ndugu ni ndugu tu ata awe wa mbali. Ilo la DNA naona n jambo jema sana, asante.
 
Ushauri wa nini sasa, kwamba wabadilishe sura??!!!

ndicho wanachotaka ili waonekane tofauti,mmoja inabidi amwagiwe tindikali usoni,(mwanaume)..au wala hakuna haja ya kusumbuka,amgegede kila siku bila matunzo,atachakaa tu.
 
Back
Top Bottom