Mkuu acha kubet kabisa. Acha sasa hivi. Ni wachache sio zaidi ya 1% wanapata pesa kwenye kubet baada ya mwaka.
Achana kabisa na hayo mambo. Kama unataka kuwa tajiri anzisha duka betting shop like Meridian na hutaweza kuwa maskini kamwe, kama wahindi. Ushauri wa bure. Ni vizuri kuacha kujihusisha na mambo ya betting kabisa.