Jamani kazi kwelikweli

ataki kukosa uhuru wa kuchangia mada mbalimbal kwa mitazamo tofauti humu JF ,inategemea pia na urafiki wenu umelenga jambo gan, ?
 
kwanini unataka kujua details zake za nini?
si mnawasiliana na kuchat au kuna la ziada unahitaji???
 
hebu mtaje ili nikusaidie kumshawishi kwa piiem!
 
Inakupasa ukumbuke kuwa humu jf kila mtu kaingia kwa malengo yake, then kuna watu wamo humu kwa kutoa mawazo yao na kufika kwa walengwa bila ya kutambulika kwa mfano nenda jukwaa la siasa kule ukaone watu wanavyoshambulia serekali, halaf wanajua kabisa jf member wengine ni usalama, so kirahis rahis tu akupe details zake!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…