Ringo Edmund JF-Expert Member Joined May 10, 2010 Posts 4,879 Reaction score 1,134 May 6, 2013 #1 View attachment 92614jumatatu imefika tena viboko shuleni vinaanza tena sijui nikimbilie wapi?
Baba V JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 19,479 Reaction score 9,551 May 6, 2013 #2 We acha tu, mie ndo niko njiani kwenda job ni balaa tupu, KINANA nilizokunywa jana bado zinazunguka kwa kichwa sijui itakavyokuwa huko, kama sijaungana na Mulugo kuwafundisha watoto kuwa Tanzania inahusisha na visiwa vya Zimbabwe mtanambia...
We acha tu, mie ndo niko njiani kwenda job ni balaa tupu, KINANA nilizokunywa jana bado zinazunguka kwa kichwa sijui itakavyokuwa huko, kama sijaungana na Mulugo kuwafundisha watoto kuwa Tanzania inahusisha na visiwa vya Zimbabwe mtanambia...
Bujibuji Simba Nyamaume Platinum Member Joined Feb 4, 2009 Posts 79,028 Reaction score 168,649 May 6, 2013 #3 Kinana=ndovu