mwembemdogo
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 2,282
- 1,253
Umeandika vizuri. Swali una data gani kututhibitishia kuwa Ukimwi upo ; maana unakuwa unatoa kama alarm kuwa ulichokuwa unakidhani sicho. In short ni sababu zipi zinakufanya utoe alarm as if umegundua information mpya about prevalence of HIV infection among Tanzanians contrary to what was thought earlier!Napenda kuchukua nafasi hii kuwakumbusha masikini wenzangu walala hoi wenzangu Watanzania wenzangu kuwa Gonjwa Hatari la Ukimwi bado lipo tena Kwa yule mdhaniae Hana ndio anao kutokana Na kushamiri Kwa ngono kiasi cha kushangaza .Watanzania sasa hivi hakuna anayezungumzia ugonjwa huu Kwa umezoeleka kama ni ugonjwa kama magonjwa mengine.Chonde chonde masikini wenzangu tuamini kuwa Ukimwi bado upo tena Kwa watu wengi.
Umekosa na wewe: HIV siyo ugonjwa, lakini UKIMWI ni ugonjwa. VYOTE VIPO, ila kuwa na HIV/VIRUS VYA UKIMWI siyo kuwa na AIDS/UKIMWI. Tunaelimishana rafikiMkuu mwembemdogo unamaanisha HIV ipo au UKIMWI upo, bado napata ukakasi na hoja yako sababu UKIMWI sio ugonjwa
na wewe umekosea kuweka mkwajuUmekosa na wewe: HIV siyo ugonjwa, lakini UKIMWI ni ugonjwa. VYOTE VIPO, ila kuwa na HIV/VIRUS VYA UKIMWI siyo kuwa na AIDS/UKIMWI. Tunaelimishana rafiki
KAMA UKIMWI SIO UGONJWA NI NINI MKUU NAWEZA PATA FAIDA YA KUELEWA..Mkuu mwembemdogo unamaanisha HIV ipo au UKIMWI upo, bado napata ukakasi na hoja yako sababu UKIMWI sio ugonjwa
Nimeweka mkwaju kama translation alert ya kiswahili to kiingereza. Lakini vipi context nimekosea, tunajifunza rafikina wewe umekosea kuweka mkwaju
Kwa elimu yangu ya darasa la saba B, Ukimwi sio ungonjwa... Ni Upungufu wa Kinga Mwili... So ukiwa na Ukimwi, means unafungua mlango kwa magonjwa kukushambulia, hivyo basi, hakuna anayekufa kwa Ugonjwa wa Ukimwi(maana hakuna ugonjwa wa namna hiyo) , bali watu wanakufa na magonjwa mengine ambayo yamekupata baada ya kuwa na Ukimwi, yaani Upungufu Wa Kinga Mwilini.KAMA UKIMWI SIO UGONJWA NI NINI MKUU NAWEZA PATA FAIDA YA KUELEWA..
Napenda kuchukua nafasi hii kuwakumbusha masikini wenzangu walala hoi wenzangu Watanzania wenzangu kuwa Gonjwa Hatari la Ukimwi bado lipo tena Kwa yule mdhaniae Hana ndio anao kutokana Na kushamiri Kwa ngono kiasi cha kushangaza .Watanzania sasa hivi hakuna anayezungumzia ugonjwa huu Kwa umezoeleka kama ni ugonjwa kama magonjwa mengine.Chonde chonde masikini wenzangu tuamini kuwa Ukimwi bado upo tena Kwa watu wengi.