segere
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 539
- 262
Myface wee' jaman jaman Myface!! Ndo vile kichwa cha mtu hakiwezi kuwa angavu kama gras, laiti kama ingekuwa hivyo ningeumbuka mie leo' jaman jaman Myface' paka mapigo yamoyo yanakimbia!! Kwasababu sijawahi kukutana na maraika lakin wengu hutoa sifa lukuki kwamba maraika ni wazuri kama kwel nihivyo basi Myface maraika alieshushwa''
Nisiwachoshe wadau nipo pande fulani za mbezi najitaftia liziki kwenye genge langu kaja mtoto mmoja kumuona tu usoni mm hoi'' basi nikajitahidi kumpa huduma kwa ufasaha ili mradi nimuone akitabasamu tu' kweli mtoto katabasam'' nataka kutupia stor nyingine ili aendelee kuwepo machoni mwangu lakin mtot amegeuka na kuanza kuondoka'' kutupia jicho kwanyuma mamayangu wee'' mtoto mtoto' mtoto mashallah' mtoto kama haendi chooni'' jaman jaman jamani Myface!! Myface kama utakuwa unasoma hii nyuzi' ombi langu kwako Myface nakuomba ni PM''. Kamwe siwezi kuacha kuishi mbezi kwahali hii' sio mbezi beach la' hasha! mbez ya kimara. Myface' Myface, jaman jaman Myface'' mrembo wee Myface!!!
Yaani wewe Zyamwelele huna maana hata kidogo na zaidi ya yote unaonekana uko kwenye Metamorphosis tena larva stage, hebu jitambue manake mda si mwingi nalikuwa napitiia uzi wako ulosema "Ukikosea hapa' wewe kwisha!!" kidogo tena nakutana na kitu hiyo hapo juu, afu shukuru leo kapita mtaa wako wenzio huku kwetu tumezoea wakina Myface kibao hadi tumewachoka, one day ntakukaribisha mitaa hii lakini kwa jinsi unavyoonekana ntakushauri uje ukiwa umevaa Tight-Jeans, kama ni wale wa suruali za vitambaa basi uje ukiwa hujachomekea..