King_Villa
JF-Expert Member
- Feb 6, 2012
- 575
- 380
jamani naomben maada wenu jinsi ya kutumia ipad 3 maana najaribu kurusha vitu kutoka kwenye pc..ila inasema device iko busy....wataalam nisaidieni kwa ili....awa apple watatumaliza..............asanteni wadau