Jamani huyu mwalimu anafanya nini?

Jamani huyu mwalimu anafanya nini?

baina

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2010
Posts
219
Reaction score
60
Walio wahi kufundishwa naomba mtwambie huyu jama anafanya nini, au ndo staili ya kuomba nyongeza ya salary?

480698_468489536528669_1433533931_n.jpg
 
Baina na Wana JF,
Heeeheee, Dis is Funny !!! Na Kikwapa chake Kinatema haswaa,
Labda Urefu wake na Ubao ni Mfupi + Madoido ya Kazi.
Nawakilisha

Walio wahi kufundishwa naomba mtwambie huyu jama anafanya nini, au ndo staili ya kuomba nyongeza ya salary?

View attachment 70293
 
Atakuwa ustadhi, huoni suruale fupi - chezea madrasa wewe!
 
Hiyo walasio bongo,labda kiwe ni chuo tena vya kisasa,hakuna shule ya secondari bongo hii ina sakafu yenye tiles na mwalimu aliechomekea na kuwa smart kama huyo.
 
Baina na Wana JF,
Heeeheee, Dis is Funny !!! Na Kikwapa chake Kinatema haswaa,
Labda Urefu wake na Ubao ni Mfupi + Madoido ya Kazi.
Nawakilisha

Nawasilisha - Siyo nawakilisha. Kuwakilisha ni kufanya kwa niaba ya mtu mwingine.
 
Hiyo walasio bongo,labda kiwe ni chuo tena vya kisasa,hakuna shule ya secondari bongo hii ina sakafu yenye tiles na mwalimu aliechomekea na kuwa smart kama huyo.

Hii ina tiles au haina??? na hii je?

Musoma Rural Website
na hii je?

Musoma Rural Website

na hii je?
Musoma Rural Website

Na hiyo je?

Musoma Rural Website

na hii je

Musoma Rural Website

Fanya utafiti kabla ya kusema hizo ni shule za serkali tena za kata kuna nyingi za aina hiyo ZENYE TILES, USIJIDANGANYE TANZANIA INAANZA KUPAA.
 
piga kazi bila majungu,watoto wenu wasipofundishw midomo yenu inazalisha maneno kibao,wakifundishw ooooh style haijatulia jali mwanao aelewe akisimamia ulimi poa tu
 
Hahahahahah hilo pozi somo lazima lieleweke!
hi miss chit chat umepewa zile vocha za simu kama zawadi isikute tumetoa mapovu ya kampeni bure kumbe zawadi hewa nijibu nilipue jipu
 
Walio wahi kufundishwa naomba mtwambie huyu jama anafanya nini, au ndo staili ya kuomba nyongeza ya salary?

View attachment 70293

heheheheee hahahahahahaaa aaaah!!!
Jamani mmenikumbusha mbali sana wakati niko chuo tulikuwa na mwalimu moja hv alikuwa anatokea ofcn kuja kutufundisha alikuwa anavaa suruali za kubana na alikuwa anaanza kuandika from mwanzo wa ubao hadi chini so akifika chini hilo pose lilikuwa linahusika. Sasa mambo ya wanafunzi bana hata kama watuwazima akili zinakuwa na matope tuu, kuna mtundu mmoja darasani akaandika kikaratasi na kusema pata picha suruale ya mwalimu ikichanika lol hatukusoma tena tulicheka ile mbaya hadi kipindi kinaisha lol!!
 
Huyo atakuwa mwalimu Mwijuma wa bihawana sec dodoma anamwaga tilio la chemistry au pure maths.
 
Back
Top Bottom