Michael Ngusa JF-Expert Member Joined Aug 4, 2014 Posts 1,637 Reaction score 463 Oct 13, 2014 #1 Katika pitapita yangu Youtube nikakutana na hii, https://www.youtube.com/watch?v=tHfbe6OE860 Tanzania tumeanza mambo ya Hollywood kiasi jamani.
Katika pitapita yangu Youtube nikakutana na hii, https://www.youtube.com/watch?v=tHfbe6OE860 Tanzania tumeanza mambo ya Hollywood kiasi jamani.
little hulk JF-Expert Member Joined Jun 20, 2014 Posts 1,610 Reaction score 558 Oct 13, 2014 #2 dogo mkali
innocentmollel JF-Expert Member Joined Sep 11, 2014 Posts 1,702 Reaction score 753 Oct 13, 2014 #3 Daaaaaa nimeangaliaa lkn cjaonaa kt cha maana mkuu .embu fafanuaa .Hollywood kvp tanzania wameanza mambo yk???
Daaaaaa nimeangaliaa lkn cjaonaa kt cha maana mkuu .embu fafanuaa .Hollywood kvp tanzania wameanza mambo yk???
excel JF-Expert Member Joined Jul 8, 2011 Posts 22,463 Reaction score 17,956 Oct 13, 2014 #4 John Ezekiel said: Katika pitapita yangu Youtube nikakutana na hii, https://www.youtube.com/watch?v=tHfbe6OE860 Tanzania tumeanza mambo ya Hollywood kiasi jamani. Click to expand... sure jamaa yetu ni mkali sana.. ila mbona site yake haipatikani hewani???? Mkuu kama una mawasiliano naye ya kiganjani ama facebook, ama ni wewe binafsi, naomba unisaidie. Congratulation for this on behalf of him!
John Ezekiel said: Katika pitapita yangu Youtube nikakutana na hii, https://www.youtube.com/watch?v=tHfbe6OE860 Tanzania tumeanza mambo ya Hollywood kiasi jamani. Click to expand... sure jamaa yetu ni mkali sana.. ila mbona site yake haipatikani hewani???? Mkuu kama una mawasiliano naye ya kiganjani ama facebook, ama ni wewe binafsi, naomba unisaidie. Congratulation for this on behalf of him!
Michael Ngusa JF-Expert Member Joined Aug 4, 2014 Posts 1,637 Reaction score 463 Oct 14, 2014 Thread starter #5 Excel said: sure jamaa yetu ni mkali sana.. ila mbona site yake haipatikani hewani???? Mkuu kama una mawasiliano naye ya kiganjani ama facebook, ama ni wewe binafsi, naomba unisaidie. Congratulation for this on behalf of him! Click to expand... +255 769 356124 michaelngusa672@gmail.com
Excel said: sure jamaa yetu ni mkali sana.. ila mbona site yake haipatikani hewani???? Mkuu kama una mawasiliano naye ya kiganjani ama facebook, ama ni wewe binafsi, naomba unisaidie. Congratulation for this on behalf of him! Click to expand... +255 769 356124 michaelngusa672@gmail.com
The End.. JF-Expert Member Joined Aug 13, 2013 Posts 4,362 Reaction score 3,846 Oct 14, 2014 #6 mbona hili ni tangazo la EATV mkuu!!!
Michael Ngusa JF-Expert Member Joined Aug 4, 2014 Posts 1,637 Reaction score 463 Oct 14, 2014 Thread starter #8 The End.. said: mbona hili ni tangazo la EATV mkuu!!! Click to expand... yeye ndo amefanya hayo matangazo, so ameyatumia kwenye Demo yake.
The End.. said: mbona hili ni tangazo la EATV mkuu!!! Click to expand... yeye ndo amefanya hayo matangazo, so ameyatumia kwenye Demo yake.
excel JF-Expert Member Joined Jul 8, 2011 Posts 22,463 Reaction score 17,956 Oct 14, 2014 #9 John Ezekiel said: yeye ndo amefanya hayo matangazo, so ameyatumia kwenye Demo yake. Click to expand... anapatikana mkoa gani hapa Tanganyika?
John Ezekiel said: yeye ndo amefanya hayo matangazo, so ameyatumia kwenye Demo yake. Click to expand... anapatikana mkoa gani hapa Tanganyika?
Tee Bag JF-Expert Member Joined Dec 21, 2013 Posts 7,220 Reaction score 5,627 Oct 14, 2014 #10 Excel said: anapatikana mkoa gani hapa Tanganyika? Click to expand... Mkuu Upo? simuoni MCHUNGUZI HURU Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Excel said: anapatikana mkoa gani hapa Tanganyika? Click to expand... Mkuu Upo? simuoni MCHUNGUZI HURU