Jamani huu wimbo

Jamani huu wimbo

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,693
Reaction score
21,765
Kuna wimbo ulitoka wakati niko primary lkn jina na msanii simkumbuki
Kama kuna mtu anaweza kunisaidia kuupata either jina la wimbo au msanii nitashukuru sana
Baadhi ya mashairi ni kama hivi "sio kwamba sitaki demu ila sijamuona mwenye....."
Verse 1
"Mara ya kwanza kukuona ilkua coco beach ,nikaulza washkaj wakasema wewe ni bitch,wakadai unasoma shule moja mjini dar es salaam....
"
Msaada wenu maana JF hakiaribiki kitu

"
 
Uliusikia mwaka gani........?......
 
Wewe ungekuwa wewe ungeweza kuutambua huo wimbo ata sijauelewa nahis ulikuwa wa mrisho mpoto
 
kusema kweli hata mimi unakuja kuja tu halafu unapotea nasijui aliiba nani huo wimbo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom