Jamani huu ujeuri utanichepusha sasa

Si unaona sijalala???? Tafakari!!!! Women torturing men, Hell fu$k.n No!!! Tunageuzia negative energy kwenu mjikaange. If I don't touch her, sili chakula anacholeta mezani (wala sio yeye alopika), simsemeshi kabisa - completely ignore her and remain happy atadata tu. Huo ujinga wanawake wanaenda nao kutoka 25+ mpaka menopause. Upumbavu mtupu!!! Wanasubiri tuzeeke watutawale - if anybody thinks this is a joke, too bad.....I hope none...
 
Mkeo atakuwa kapata kamchepuko sehemu!! chunguza, chunguza zaidi!!
 
Hahahaha duh kwa hiyo mkuu unataka kuhalalisha tamaa yako kwa hg eti kisa kuna shida . Sasa mkeo akiugua kwa muda au akienda masomoni/kwao kuna shida kwa muda flani je hautaweza kuvumilia. Haya wewe unaanza kumuona beki 3 anang'aa subiri nae aone shamba boy ana six pack hapo ndo mtaelewana. Mkuu itunze ndoa yako jichunguze tabu iko wapi sio unafika unamwambia geuka huku kwa nguvu unafikir yeye aseme ndio tu. Hapo inaonyesha umeshindwa kubembeleza sasa beki tatu utaweza mkiki wake.
 
Mkuu shem amekukosea sana, lkn km utachepuka utakuwa umefanya kosa kubwa zaidi, tena utakuwa umemdhulumu shem na wewe mwenyewe pia! pse bro, usichepuke!
 

Am proud to born kurrya,mwanamke akianza kuota mapembe nayakata kwanza ikishindikana unasogeza mwingine,
Pole best hiyo hutokea tafuta kwanxa solution ikishindikana take action.
 
Jitahidi kumtomasatomasa ukiona hasomeki, kula nje kwa mbali, achana na huyo beki tatu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…