Jamani huu si uchawi saidia

Status
Not open for further replies.

Kuna Doctor mmoja hapo muhimbili psychiatric ward! Rafiki yangu saana.

Ameona maneno yako. Ameniambia nikuulize. ! Eti unachanganya vitu gani kupata hio damu!

Yuko tayari kukiuka mipaka ya utabibu . Na anataka kujaribu hio Damu!

Manake wagonjwa wa pepo wachafu wamezidi na nafasi wodini zimejaa!

Angeshkuru saaana kama utafanya fasta kidogo!
 
aisee, MaxShimba amekudadavulia vizuri kabisa kiasi nakosa cha kukushauri ahsante kwa hilo MaxShimba , ila nami nasema mpokee Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wa maisha yako(OKOKA), omba kwa imani kila siku kabla na baada ya kulala, na pia funga na kuomba na ukemee hizo roho zinazokutembelea usiku, hautaona tena masumbufu hayo
 
Huyu jamaa sijamuelewa kabisa post yake misamehe kwa kweli.

Anaongelea kazi mix na nyumba anayoishi majirani zaje mix na gharama za umeme wa kuchangia...dah pole yangu.

Ukiangalia post yenyewe juu kabisa ukaunganisha na hapo niliposema kazi /////nyumba ninayoishi///////gharama za umeme utapata muunganiko mzuri. nahisi umesoma sehemu niliyokuwa najaribu kujibu maswali na mawazo niliyopewa.Si pole yako umeuliza ni sawa.
 
Kuna vitu ambavyo vinakufanya umshukuru Mungu hujawahi kutana navyo.

Nashindwa kufikiri ni nyumba ama unahitaji tiba ya akili. Labda ukaongee na daktari compenent aisee

Daktari nilishamuona, mapema. Hatua yangu ya kwanza juu ya tofauti ya mwili wangu inapotokea ni hospitali, isipoeleweka inakuwa tatizo
 

Hahahaha! Ukweli mtupu Mkuu kahtaan
 
Last edited by a moderator:

Mkuu kahtaan, huyu jamaa inaonekana "ubongo wake umecheza" ndio maana ukimuuliza maswali ambayo majibu yake yako wazi bado ataruka ruka tu!
 
Last edited by a moderator:
Acha kudanganya watu huna chochote unachojua kuhusu bibilia,naona unataka kujilinganisha na Mungu..
 
Acha kudanganya watu huna chochote unachojua kuhusu bibilia,naona unataka kujilinganisha na Mungu..
kahtaan, hana lengo la kudanganya watu, yeye kajibu hoja jinsi anavyofahamu mambo.

Kwahivo na wewe ungemjibu kwa hoja mkuu ili watu wanaosoma hapa wajifunze kitu!
 
Last edited by a moderator:
Kipi hapo Yesu kasingiziwa,huwezi ukawa mfuas wa Yesu alafu ukampimia,wewe huna ufuasi wowote zaidi ya uasi
 
kahtaan, hana lengo la kudanganya watu, yeye kajibu hoja jinsi anavyofahamu mambo.

Kwahivo na wewe ungemjibu kwa hoja mkuu ili watu wanaosoma hapa wajifunze kitu!
Kajibu anavyojua yeye ndio akili yake ilipoishia hapo,nimemjibu kwamba akili yake anailinganisha na Mungu ndio maana akamjibia kitu ambacho anadanganya watu,kwa mtu anaejitambua ni rahis kumjua yeye ni mtu wa aina gani..
 
Last edited by a moderator:
Kajibu anavyojua yeye ndio akili yake ilipoishia hapo,nimemjibu kwamba akili yake anailinganisha na Mungu ndio maana akamjibia kitu ambacho anadanganya watu,kwa mtu anaejitambua ni rahis kumjua yeye ni mtu wa aina gani..

Hawezi kulinganisha akili yake na Mungu....lakini anaweza akalinganisha akili yake na miungu watu!
 
Huko unakoishi kuna wanga, wewe binafsi mrudie Mungu uwe unasali kabla hujalala lakini pia tafuta mtumishi wa Mungu aje afanye maombi hapo unapoishi, kwa imani maruweruwe yataisha, maana imani inaweza kuhamisha milima

Hakika hayo ni mapepo, nguvu za giza. Fanya toba kamilifu, mtumainie Mwenyezi Mungu. Mkabidhi Mungu maisha yako uondokane na mambo ya kishetani. Anza leo, badilika na sali sana utaona hayo yote yamekwisha. Usipofanya hivi ni sawa na kuendelea kumkaribisha shetani katika nyumba unayoishi. Shetani naye ana nguvu sana.:shetani:
 
Hawezi kulinganisha akili yake na Mungu....lakini anaweza akalinganisha akili yake na miungu watu!
kwa hiyo bible imekuwa miungu watu,unaweza niambia Yesu alifata nini dunia?,kwa nini watu wanabatizwa?,kwa nini binadamu kapewa nafasi ya kutubu na shetani akahukumiwa na hakupewa nafasi ya kutubu?
 
Unachanganyia katika maabara ya Rohoni.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…