Jamani huu si ndo uhuni wenyewe?

From the Uchaguzi Tanzania 2010 forum: Jimbo la Karatu, mgombea Dk. Wilbroad Lorri, ameibuka kidedea kwa kura 82,460 akifuatiwa na Sixbert Kardya 3,078.

Ndiye yeye huyu? kama ndio naona hatumii jina la ukoo(?) Slaa na anatumia Lorri - Sasa Tatizo lipo wapi jamani? Au tunaendeleza kalcha ya kulalamiiiika tuu bila sabubu.

Kaaazi kweli kweli!!!
 
Mzimu wa slaa unawaandama, safari hii watakiona cha moto. Nini slaa wangemuita na mwingine zitto kabwe
 
Hivi watu wa Karatu wanaweza kufanywa wajinga? hapana historia itatufundisha kuwa watu wa Karatu ni watu makini, na wenye msimamo, jina tu haliwezi kuwageuza. Sasa nawaambia wasiangalie jina, wenyewe wachague Chadema
 
Non sense thread. kwani watu wanachagua jina? wanakaratu wa sasahivi sio wale wa miaka ya 47, wamesoma na wanajua huyu ni nani na wa chama gani. Sorry kama nitasema hii thread ni yakitoto, ni sawa na toy. Geza ulole sijawahi ona thread yako ya ajabu kama hii. sioni jina kama ni tatizo.
 
Aliyeshinda Karatu kwa tiketi ya CCM anaitwa Dr. Wilbroad Lorri na sio Slaa
 
naona utakuwa na matatizo ya kufikiri, hivi wewe unafikiri Wana Karatu ni vihyo kiasi hicho wasijue Dr Slaa wa kweli na wa uongo, please give a break, hawawezi miaka yote hiyo wasimfahamu Dr Slaa wao, am sure 100% wanamjua yupi fake na yupi wa kweli, so kuhusu hilo sioni point kabisa, acha CCMwenyewe wachague mtu wao lakini wajue jimbo la Karatu ni la CHADEMA, PERIOD
 
Uzuri Wakaratu wanaijua vizuri sura ya Slaa wa kweli....siku CCM wakimsimammisha huyo imposter ndio wataangukia pua...nina hakika kampeni zitaanzia karatu kwa CHADEMA na mgombea wao na Dr Slaa wa kweli watakua jukwaani pamoja....wapiga kura nao wasidharaulike wanajua masuala siku hizi...very poor and cheap strategy by CCM....CHADEMA kamwe haitatafuta mgombea aitwaye Jabaya Kikwete asimame Chalinze(LoL)
 
POLITICS....I just love this game..never ceases to amaze me.. But hey, its all about STRATEGY;.. CHADEMA should come up wit some way to counter measure this.. and may the best strategist win...good luck to all

Why if CHADEMA nominates a woman, possibly Mrs (origina) Slaa who has just defected from CCM?
 
Why if CHADEMA nominates a woman, possibly Mrs (origina) Slaa who has just defected from CCM?
Mrs Slaa will face the fake Dr Mary Nagu of the Hanang constituent! Worry not Chadema has a really good present for Karatu constituent as their thank of them being loyal
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…