Jamani huu ni mti gani?

baobao tree! ila naskiaga eti nao ulianzaga kama ka mchicha!
Huo mti inaonyesha ni mkubwa sana wala hautosha kwenye pad yangu. Mi naona picha yake tu.
 
Huu ni Mbuyu

Ipo kwa wingi kuanzia Ruaha kuelekea Moro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…