Jamani hii ya cuf kutekeleza ilani ya ccm imekaa vipi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani hii ya cuf kutekeleza ilani ya ccm imekaa vipi?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Papa D, Feb 9, 2011.

 1. Papa D

  Papa D JF-Expert Member

  #1
  Feb 9, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 687
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Leo katika mahojiano ya channel ten Naibu Katibu Mkuu wa CUF bwana Mtatiro amekiri kuwa CUF inatekeleza ilani ya CCM kule Zanzibar na kwamba ilani hiyo ni ile ile ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania! Wakati huo huo akisisitiza kuwa CUF ni chama cha upinzani Bungeni Je, hapo kuna upinzani kweli? maana kama ni kupinga serikali kwa hoja tulishududia katika Bunge lililopita Wabunge wa CCM wakiipinga serikali yao, je CCM nayo tuiite chama cha upinzani Bungeni kwa kuipinga serikali?

  Jamani hebu tutafakari na kutafakuri huu mkanganyiko!!!
   
 2. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #2
  Feb 9, 2011
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,603
  Likes Received: 4,708
  Trophy Points: 280
  Achana na hao changu doa wa kisiasa
   
Loading...