KakaKiiza
JF-Expert Member
- Feb 16, 2010
- 11,584
- 8,608
Jamani mimi nimekumbana na mengi lakini hili naomba ni share na wewe mwana jamii mwenzanagu!!Najua wote wake kwa waume kunakitu kitufanyacho tufurahi na sikingine!!ze needful is something else!!au??Sasa basi naomba nikuulize baada ya mahitaji je wewe ulishakutana na mizuka gani??maana kila mmoja Mume kwa mke amalizapo ule mshindo anamzuka wake wengine hurukarukakitandani wengine mayowe kwakweli mchanga nyiko wengine utacheka maana utazani anafanya makusudi kumbe ndivyo alivyo maana mara yakwanza waweza sema nimatani lakini sikuzinavyosogea ndiyo staili yake!!je wewe umeona mizuka mingapi na ya aina ipi weka hapa burudani!!mimi nmwenyewe nimeona mtu kaamka kitandani anatembea chumba kizima nikashangaa amepandwa namashetani??baada yakupoaaa!! nikamwuliza aksema we achatu ninakuwa najisikia raha ajabu!!Jibu langu nimetoa usiniulize nasubiri kwako!!:A S 465::wink2: