Jamani hii nayo ni raha eti?!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,574
8,591
Jamani mimi nimekumbana na mengi lakini hili naomba ni share na wewe mwana jamii mwenzanagu!!Najua wote wake kwa waume kunakitu kitufanyacho tufurahi na sikingine!!ze needful is something else!!au??Sasa basi naomba nikuulize baada ya mahitaji je wewe ulishakutana na mizuka gani??maana kila mmoja Mume kwa mke amalizapo ule mshindo anamzuka wake wengine hurukarukakitandani wengine mayowe kwakweli mchanga nyiko wengine utacheka maana utazani anafanya makusudi kumbe ndivyo alivyo maana mara yakwanza waweza sema nimatani lakini sikuzinavyosogea ndiyo staili yake!!je wewe umeona mizuka mingapi na ya aina ipi weka hapa burudani!!mimi nmwenyewe nimeona mtu kaamka kitandani anatembea chumba kizima nikashangaa amepandwa namashetani??baada yakupoaaa!! nikamwuliza aksema we achatu ninakuwa najisikia raha ajabu!!Jibu langu nimetoa usiniulize nasubiri kwako!!:A S 465::wink2:
 
kuna jamaa huyo yeye akishamwaga mchuzi wake tu, basi lazima amlambe mwanamke makofi kama 2 hivi ya haja kufurahia ushindi wake!
 
kuna mdada mmoja akikojoa anazimia kabisa mpaka hospitali ndio anaenda kuzinduka tena kwa dripu nilikutana nae Upanga
 
hahahahha!hahah! minkimaliza naanza kuimba haleluya....haleluya............!!!!!!
 
kuna mdada mmoja akikojoa anazimia kabisa mpaka hospitali ndio anaenda kuzinduka tena kwa dripu nilikutana nae Upanga
Duh...! Kuishi na huyu ni raha sana, maana hawezi kuiba, na akifanya hivyo lazima ijulikane....!
 
Mhhhh.....! Ever you proved this?

Huko ni wapi mkuu? Tafadhali, umeniacha....!

Hata ukiiba utaimba hivi? Sipati picha kama umeshiriki cha chap-chap.....!
ndo manake naimba ivo ivo km nipo kwa kakobe vle.......haleluya za hatari .....haleeeeeeeeeeeeeeeluyaaaaaaa haleluuyaaaaaaaaaaaaaahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaleluuuuuuuya......sauti zote apo toka ya 1 mpk ya 41 zinatumika!!!!!!!!!!!!!
 
Jamani mimi nimekumbana na mengi lakini hili naomba ni share na wewe mwana jamii mwenzanagu!!Najua wote wake kwa waume kunakitu kitufanyacho tufurahi na sikingine!!ze needful is something else!!au??Sasa basi naomba nikuulize baada ya mahitaji je wewe ulishakutana na mizuka gani??maana kila mmoja Mume kwa mke amalizapo ule mshindo anamzuka wake wengine hurukarukakitandani wengine mayowe kwakweli mchanga nyiko wengine utacheka maana utazani anafanya makusudi kumbe ndivyo alivyo maana mara yakwanza waweza sema nimatani lakini sikuzinavyosogea ndiyo staili yake!!je wewe umeona mizuka mingapi na ya aina ipi weka hapa burudani!!mimi nmwenyewe nimeona mtu kaamka kitandani anatembea chumba kizima nikashangaa amepandwa namashetani??baada yakupoaaa!! nikamwuliza aksema we achatu ninakuwa najisikia raha ajabu!!Jibu langu nimetoa usiniulize nasubiri kwako!!:A S 465::wink2:

Wee hujatulia kabisa, unahitaji kupepewa na kupewa kitchen party au beg party. Mambo ya chumbani huishia chumbani.
 
Unamaanisha wote waliochangia hapa hawajatulia???Na rose 1980 anayeimba haleluya??unajua mungu kaweka hivi vitu tuvitumie kama usiposema hapa tutakuwa tumenuna!!sasa hii ndiyo dunia ina smile!!Twambie wewe unatimkaje au unavibrate kama uanakufa na kurusha miguu mikono??nakungojea mpwa!ndo tuna wafunda!!
 
hahahahaha !!!HA!haaaaaaaaaaaa raha kweli kweli kakakiiza mwulize uyo!!!!!
 
Duh...! Kuishi na huyu ni raha sana, maana hawezi kuiba, na akifanya hivyo lazima ijulikane....!
tatizo inatakiwa na wewe upate kozi ya first aid au uwe unaenda kuchinjia kobe wodini ili mkimaliza tu dokta anamuwekea dripu azinduke
 
Back
Top Bottom