Jamani hii imekaaje?

Jamani hii imekaaje?

DOFFA

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
425
Reaction score
233
Mimi Mzazi nikikosa hela ya kununulia sare za shule na nimeambiwa nimpeleke hivyo hivyo akiwa hana sare,sasa katika hili inamaana sare zimeshafutwa???naombeni mnisaidie kama kuna mtu anajua.
 
Ahhaha...natamani niwe mwanao nisivae sare
 
Elimu ni Bure hujasikia akisema hivyo.? Peleka mwanao hivyo hivyo
 
Back
Top Bottom