😀😀😀😀😀safi sana... tena ikiwezekana wapewe na mahindi wakasage... kama serikali hainijali unategemea mi ndo nijali wanafunzi..!
Mkuu mwisho wa siku hasara ni kwetu sisi wazazi/walezi..tutatengeneza kizazi cha wajinga kama tukikubaliana na hili swala..safi sana... tena ikiwezekana wapewe na mahindi wakasage... kama serikali hainijali unategemea mi ndo nijali wanafunzi..!
Umenichekesha mkuu..ingawa inauma sana[emoji23][emoji23]Haha nilisoma hapo miaka 20 iliyopita, hiyo kaz tuliifanya sana tena tulikuwa tunagombania, mwl akikuchagua unaona fahari sana[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nikahamia Mwisenge huko ndo basi tena, tulipanda sana maharage na mahindi kwenye mashamba ya walimu , huku majengo mapya,
kizazi cha wajinga mbona kwenye siasa tayari kishatengenezwa.... umesahau mwanasiasa anatakiwa ajue kusoma na kuandika tu... hata akipata 0 fresh tu hatakaguliwa cheti..!Mkuu mwisho wa siku hasara ni kwetu sisi wazazi/walezi..tutatengeneza kizazi cha wajinga kama tukikubaliana na hili swala..
Hahah Mkuu Una roho ngumu kwelikwelisafi sana... tena ikiwezekana wapewe na mahindi wakasage... kama serikali hainijali unategemea mi ndo nijali wanafunzi..!
Nilidhani lá maaana sana,Habari za jioni wakuu..
Nimehuzunishwa sana na hiki kinachoendelea kwenye baadhi ya Shule zetu za Serikali ambazo waTanzania wengi wenye kipato cha chini ndo tunawapeleka watoto wetu..
Kuna watoto watatu hapa..mkubwa drs la tano mwingine la tatu na wamwisho la pili.Wanasoma SHULE YA MSINGI NYARIGAMBA iliyopo MUSOMA MJINI MKOANI MARA
Tatizo lililopo ni kwamba leo nilikuwa nakagua maendeleo ya watoto hapa nyumbani cha kushangaza katika maongezi watoto waliniambia kwamba WALIMU wao huwa WANAWAPA DAGAA WACHAMBUE Hata kama wakiwa ktk MUDA WA VIPINDI DARASANI.Nilishangazwa zaidi waliposema huwa inafika kipindi wale wenzao wa drs la sita wanaletewa samaki watengeneze.Na hawa walimu wamezoea na ni zaidi ya miaka miwili wanafanya huu ujinga..
Jamani wazazi tuwaulize vizuri watoto wetu na tufuatilie maendeleo yao kwa ukaribu maana sometimes tunawalaumu watoto kwa perfomance mbaya kumbe makosa sio yao ila ni walimu wasio na weledi ndo wanashusha elimu yetu.
Hii inakera sana aisee mtoto anaenda shule yupo smart anarudi ananuka shombo ya samaki na dagaa.
Nimeamua kutaja na jina la shule ili hili swala lifanyiwe kazi.Na wakuu kama kuna shida kama hizi zinatokea kwa watoto wenu tupaze sauti tuzitaje hizi shule labda itasaidia wajirekebishe ili watoto wetu wapate elimu bora.Asanteni sana.
Akiwa mjinga, mpeleke akateuliwe awe mkuu wa mkoa, hutapta hasara. Pale wenye sifa ni wale wenye sifuriMkuu mwisho wa siku hasara ni kwetu sisi wazazi/walezi..tutatengeneza kizazi cha wajinga kama tukikubaliana na hili swala..
Acha ujinga wewe.!! Yan km ndo mnatumia kivuli cha stadi za kazi kuwachambulisha dagaa na samaki watoto wadogo basi mna matatizo ya akili..Nilidhani lá maaana sana,
Bother wakati unasoma ulikwepa Stadi za Kazi,
Pole kwa hilo, kaanao uwaelimishe waambie Stadi Za Kazi hão wajomba zako