jamani kunamatangazo yananikera sana kwani watoto wangu na wamajirani yamewaharibu kweli kweli lakwanza ni hili la zain linalosema weweeeeeee uhuru wa kuongea jamaa ananyuka anaanza kukata mauno kisawasawa sasa ukiwaona watoto walivyolikrem mwanzo mwisho nawanavyokatika yani ni balaa.
lingine ni hili la serengeti serengeti sasa nikiyatazama sioni yanamaana gani kulingana na wanachokitangaza au nikuteka umakini wa watu kwanza kama ndivyo walengwa wamekukuwa ni watoto zaidi
ebu tushauriane ili huu ni mtazamo wangu
yani ww acha tu,mm nilimnunulia my gal vile vitabu vya kusoma vyenye picha nikaanza,BBY SAY APPLE-APPLE,tukaendelea mengine nikafika hapa,BBY SAY CHITA-EEEH MAMA SERENGETI SERENGETI,nikaduwaa kila nikimfundisha ananiambia mama uyu serengeti bwana sio chita
mengine yanasababisha kiu tu!!
sasa kama lile la safari (silikumbuki vizuri) au la castle laga, bia ya baridiii, halafu mtu anaimimina kwenye glass, halafu anaipiga kama nusu hivi.
si balaa hii sasa kwa akina Xpin and the Co.
Unashauriwa kuwa karibu na kuwadhibiti watoto wasiangalie pindi yanapotokea matangazo kama hayo maana yanahusu wakubwa... Vinginevyo usipokuwepo zima kabisa TV ili wasipate fursa ya kutazama matangazo ya namna hiyo.....!!!
yani ww acha tu,mm nilimnunulia my gal vile vitabu vya kusoma vyenye picha nikaanza,BBY SAY APPLE-APPLE,tukaendelea mengine nikafika hapa,BBY SAY CHITA-EEEH MAMA SERENGETI SERENGETI,nikaduwaa kila nikimfundisha ananiambia mama uyu serengeti bwana sio chita
Tatizo nhi yetu ina uingi mkubwa wa watu wenye upungufu mkubwa wa upembuzi thats why hata humu katika JF utaona baadhi ya komenti zilivyo za ajau hii inanesha jinsi mawazo ya mtoa komenti yalivyolaliwa na upotofu zaidi, Kiujumla haya matangazo si jamii nzima hata mie nashangaa kuwekwa hata asubuhi mi nadhani yangekuwa na muda maluumu ka kwanzia saa 6:00 usiku hivi,
watoto wote under 8 wanapenda matangazo, we chunguza kila tangazo linapoanza tu hata kama anakula anaacha kuangalia - hapo tunakatiwa mauno kwa kwenda mbele.
uhuruuu wa kongeaaaaaaaaaaaaaaaaaaa - tena wacha niende home niwahi nikaone mauno.
hakuna ubaya mkuu - usiwe na wasiwasi, labda la kondom ndiyo utapata maswali mengi - hicho ni nini - kinalinda eti maisha - ukimpenda mpe mbona sisi hautupi nk
maisha ya utandawazi mzee
At somepoints inabidi ukereke kwani waandaaji wa matangazo huwa hawaangalii content ya matangazo yao na jamii tunayoishi. Kuna matangazo ambayo kimsingi yalitakiwa yawe na muda wa kuonyeshwa ila the content of the free market and the expansion of neo liberal through whatever its forms ndio ambalo watawala na wamiliki wa vyombo vya habari hawajawa aware navyosioni shida na matangazo hayo..wala sikerekwi!