jamani haya mapenzi!!

joyness

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2012
Posts
235
Reaction score
120
habari wana jamii! kuna rafiki yangu wa kike ana mpenzi wake na alimkuta huyu mwanaume ana mtu wake wakati wanaanza mahusiano, sasa huyu rafiki yangu anampenda sana huyu kaka na kaka mwenyewe anampenda sana, tatizo rafiki yangu anaona wivu juu ya mahusiano ya huyu kaka na huyo dada aliyekuwa naye mwanzo na akitaka kusitisha mahusiano mkaka hayuko tayari, na huyu kaka anashindwa kumuacha mpenzi wake wa mwanzo coz wamekuwa wote kwa miaka minne sasa ushauri kwa my best friend pls!
 
unataka ushauri wa aina gani kuwa msimamo kama una uwezo wachukue wote wawili nimekaa wote miaka minne then unataka kumchukua mwingine so nlikuwa mnapotezeana muda.
 
ushauri ni kwamba yeye ataendelea kugegedwa tuu....jamaa is treating her kama sexmate.
 
Mwambie a-play her part tu, ubunifu ujuzi mwingi she ll finally be the winner....
atamuachaje bwana wakati anampenda tena sio mme wa mtu!!!!
 
Simple tu hiyo mbona!!!!!!! Atafute namba ya huyo dada ajifanye msamaria mwema amwambie ukweli kuwa kuna huyo kaka sio mwaminifu walanini ana kidemukama haamini awavizie pahal flani! Basi yeye anahakikisha wapo hiyo sehemu yule mtenda wema akiwafuma atamwacha yule kaka na kwenda zake! Yeye tabakia akijinafasi free from all charges!

Devide and conquer!!!!!!!! Awagawanye tu atawatawala wote!

Everybody for themselves God for us all!!!!!!!!!!
 

jamaa aneza kumind akaona kama anafujo akapigwa chini ikala kwake!!!!
 
ah wanaume tunapenda easy papuchi...sasa wee bidada kajilengesha kwa nini nisimgegede ata kama najua sitakuwa nae

Ni experience, i have been there....
hakuna cha easy papuchi wala nini hadi leo nipo nae ni malovee kwa kwenda mbele!!!!
 
Ni experience, i have been there....
hakuna cha easy papuchi wala nini hadi leo nipo nae ni malovee kwa kwenda mbele!!!!

kha!!! so jamaa ulikomaa nae mpaka umemmiliki....hukutaka papuchi yako isasambuliwe bure bure lol...ebu tupe maujanja uliwezaje kujinasua toka sexmate mpaka mama mwenye nyumba?
 
kha!!! so jamaa ulikomaa nae mpaka umemmiliki....hukutaka papuchi yako isasambuliwe bure bure lol...ebu tupe maujanja uliwezaje kujinasua toka sexmate mpaka mama mwenye nyumba?

aku!!! siri ya kambi hiyo....!!!!
 
Wen u want the most there is no easy way out avumilie kwa mda awe na strategy za kuuwin mtima wa jamaa

halaf amek sure kweny matukio ya maana ye ndo anakuwa th first kushow up lik if th guy hz sick,kumsaport if h nid a help,kwny harus n al event automaticaly atashindwa kubalance n obvious yule demu ataanza complain na huyu ndo achochee macare mbona atampeperushia huyo ndege kirahis tuuuu
 
Ushauri wangu aachane nae kabisa asitishe mapenzi hayo mara moja! mcahafuzi tu huyo!
 
Ndio maana katika masuala ya mapenzi kuna watu humu kama lara1 nikiwakosa tu nakuwa mzito kuchangia mada za namna hii.


 

Lara 1 we mkali sana,,, nimecheka mpaka basi.. Hiyo style ndo walitumia wakoloni kutugawanya...

Inabidi nikualike kwenye Kikao cha yanga cha mwaka huu cha vijana pta hall sabasaba utusaidie mawazo ya kuijenga timu yetu ifike champions league semi finals next season..

Maaana una akili sana za haraka haraka na mwanao ukizaa na Mazab zab atakuwa balaaa
 

kama vp amwache tu,
 
Mwambie aache ujinga. Kwani huyo anayetaka aachwe hana moyo wa kuumia? Ni vibaya sana kumharibia mwingine kwa manufaa yako katika lolote lile, and of course you gonna reap what you saw right here. What goes arround comes arround even sooner than expected!
 

Waulize tu wako wangapi?????

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 

Well said!

Huyo kaka naye ni hamnazo kweli..Kama hamtaki tena huyo miaka mi4 si amwambie ukweli waachane.

Kaaaaaah!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…