mambo vp jf, bila kupoteza wakati niingie kwenye mada. Kuna mama moja anadai ananipenda sana na mm kimtazamo ni kweli ananipenda kwani kuna mambo mengi amenisaidia katika maisha,huyu mama kila kukicha ananilazimisha nile naye tunda namimi siko tayari kwa sababu nahofia maisha yangu, mama ana hela ndefu sasa cjui nifanyeje jamani! Ushauri tafadhali.
pesa ni kila kitu kiongozi,ww mwenyewe unafanya kazi ili upate pesa ausio!
mambo vp jf, bila kupoteza wakati niingie kwenye mada. Kuna mama moja anadai ananipenda sana na mm kimtazamo ni kweli ananipenda kwani kuna mambo mengi amenisaidia katika maisha,huyu mama kila kukicha ananilazimisha nile naye tunda namimi siko tayari kwa sababu nahofia maisha yangu, mama ana hela ndefu sasa cjui nifanyeje jamani! Ushauri tafadhali.
wewe umeshaona sifa yake kuu ni kuwa na hela ndefu , kwa hiyo wewe ndicho ulichoona kwake kinakufaa??