mkabashingo
Member
- Aug 10, 2014
- 48
- 5
Kama una mtoto mshukuru mungu wako, na ujue kupata mtoto sio juhudi zakoPiga chini huyo. Utauziwa mbuzi kwenye gunia
Umejuaje kama ye ndo ana tatizo? Mlishaenda hospitali?Habar wana jf?, da! Simuliwa omba yasikukute , nina mpenzi wangu ambaye natarajia kufunga ndoa mwaka kesho kutwa, ila kuna tatizo ambalo linanisumbua sana , hashiki mimba huu ni mwaka wa tatu sasa najaribu lakini wapi , naombeni msaada nifanyaje mie, Na ninampenda sana , pia napenda kuwa na mtoto. Ushauri tafadhari..
Habar wana jf?, da! Simuliwa omba yasikukute , nina mpenzi wangu ambaye natarajia kufunga ndoa mwaka kesho kutwa, ila kuna tatizo ambalo linanisumbua sana , hashiki mimba huu ni mwaka wa tatu sasa najaribu lakini wapi , naombeni msaada nifanyaje mie, Na ninampenda sana , pia napenda kuwa na mtoto. Ushauri tafadhari..
Piga chini huyo. Utauziwa mbuzi kwenye gunia
very well said. watoto ni zawadi toka kwa Mungu. unawezaona anamlaumu mwanamke kumbe yeye ndiye mwenye matatizo na huyo mwanamke anamficha tu. wakienda kupima ukashangaa mwanamke hana tatizo ila yeye ndiye alikuwa hana uwezo; hapo sasa. kwanza kabisa kama hamjafunga hata ndoa sijui tuseme mnazini au mnafanyeje sasa.Kama una mtoto mshukuru mungu wako, na ujue kupata mtoto sio juhudi zako
ila ni mpango wa mungu.....
we umeamuaje kama utaweza kuishi bila watoto sawa kama huwezi angalia ustaarabu
labda mkapime inawezekana wewe ndio tatizo
nenden hospital mkachek
Uandishi unanikera huu!! na asishike tuu.Tatizo mi xina , nimepima mala kibao ,
Mmh yani ndoa hadi mwaka kesho kutwa afu mtoto unamtaka leo...! Kumbe uwezo wa kulea familia unao, si mfunge ndoa sasa, au?
Now hapana nipo nje ya nchi so if possibly I will do it soon , after one year , hii itakua poa
Funga ndoa mtoto atakuja, acha zinaa