ChaMtuMavi
JF-Expert Member
- Oct 15, 2008
- 330
- 10
Inapotokea umetokewa na kijana, mpole, mkarimu, mpenda dini na anakuambia direct kw alikw na mpenzi lakn hayupo tz na hataki kurudi tena, nayy umri wake una mruhusu kuoa sshivi kwaiyo anatafuta mwanamke alokuwa serious maana hataki kupoteza mda, na ww unaetokewa haupo katika mahusiano kwa takriban miaka 3 na unajipa moyo na kufurah kuwa ukiloliomba siku zote limetimia, mnakuwa pamoja kama 6 months hivi, then anakuambia yule mpenzi ambae alikuwa hataki kurudi amepiga cm kwao kuwa atarudi kabla ya January na kwao wanaleta salaam upande wa huyo kijana kuwa waliongea na binti na kakubali kurud, na huyu kaka anakuja kwa ww mpenzi mpya na anakuambia yote yaliyojili na mbaya zaid huyo mchumba anaekuja ni mchumba ndugu yani dada binamu, wakati huohuo ww unampenda sana na hapo nyuma kabla hujawa na ukaribu nae zaidi mlishaenda clinic kutest hiv na hiyo yote mlifanya kwa malengo ya kuingia katika mahusiano ya kudumu,
Kwa bahati mbaya pia umeshika ujauzito una kama mwezi mmoja tu ukitaka suluhu ya hili anakushauri mfunge ndoa ya siri kana kwamba tayari alishaoa! Unakabiliana nayo vp hali kama hii? Na je hapa mapenzi yalikuwepo au? Ata hivo bado anaonyesha ana upendo na ww na wakati huohuo anaonesha ana upendo na dada binam kwa kuona sms wanazotumiana! Comments zenu muhimu sana jamani karibun tuchangie mada
jamani wadada mimi huwa nawambia hizi spidi zenu za kubeba mimba ndo mnatanguliza ili mpate ndoa hazifai kabisa, mwenzio huyo according to your maelezo anampenda huyo binamu yake. kataa habari ya ndoa ya siri, si ndoa hiyo ni wizi na kukudhibiti tu ili yeye akishaoa binamu yake kwa dini aendelee kucheza rafu kwako kwa kigezo hicho kwamba kakuoa, cha msingi wewe lea mwanao aliyeko tumboni, kama unampenda sana nendeni kwa wazazi pande zote mbili alipe mahali na mfunge ndoa ambayo itashuhudiwa pande zote. lakini ni bora usiwe desperate maana hata ukifunga ndoa kuna potential problems na huyu bwana na binamu yake.
Ana ujauzito wa jamaa lakini! je utamkubali tu au ndo nani hiii..kuzuga!Unajua mimi nina plan yangu ya kuweka ndani 2012 maombi yanaruhusiwa kama huko umetoswa na mm ni mcha Mungu kweli kweli
Mmmm,i doubt on this,Gud Boy u've that bad advise,and is bad in deed!!sasa wewe unacholaumu ni nini, ninyi akina dada kazi yenu ni kulalamika tu, sasa kwa nini usikubali hiyo ndoa ya siri ili akija amwambie kuwa alishaoa? Ukikataa upuuzi wako mwenzio atakuja kukunya'anya huyo jamaa na mtoto hatakua na malezi ya wazazi wote wawili, fanya hima funga ndoa, wacha kujishauri shauri
[/QUOTE][/QUOTE]Ngoshwe! kwa swala la ushahidi hapa linakuja hivi! Ndoa kama itafungwa basi itakuwa ya kiislam, kwa maana hiyo atafungisha shekhe na mashahid wa pande 2 lazima wawepo ss kama huyo mume ataleta rafik yake awe shahid hatuwez jua, Pili lazima cheti cha ndoa kisainiwe kwasababu itakuwa ndoa halali! 3 Kwa upande wa mwanamke ruhsa kuwafahamisha ndugu zake wote isipokuwa usiri upo kwa huyo mume (sijui anaficha nn)
Muhusika ana akili timamu, mimi si muhusika mkuu ila linanihusu 80% kwasababu hili jambo lipo ndani ya familia yetu, namimi nikiwa km dd natafuta njia mbadala ya kulitatua hili
Pole sana kwa matatizo yaliyokukuta dada. Kwa bahati mbaya Sina la kukushauri.
Inapotokea umetokewa na kijana, mpole, mkarimu, mpenda dini na anakuambia direct kw alikw na mpenzi lakn hayupo tz na hataki kurudi tena, nayy umri wake una mruhusu kuoa sshivi kwaiyo anatafuta mwanamke alokuwa serious maana hataki kupoteza mda, na ww unaetokewa haupo katika mahusiano kwa takriban miaka 3 na unajipa moyo na kufurah kuwa ukiloliomba siku zote limetimia, mnakuwa pamoja kama 6 months hivi, then anakuambia yule mpenzi ambae alikuwa hataki kurudi amepiga cm kwao kuwa atarudi kabla ya January na kwao wanaleta salaam upande wa huyo kijana kuwa waliongea na binti na kakubali kurud, na huyu kaka anakuja kwa ww mpenzi mpya na anakuambia yote yaliyojili na mbaya zaid huyo mchumba anaekuja ni mchumba ndugu yani dada binamu, wakati huohuo ww unampenda sana na hapo nyuma kabla hujawa na ukaribu nae zaidi mlishaenda clinic kutest hiv na hiyo yote mlifanya kwa malengo ya kuingia katika mahusiano ya kudumu,
Kwa bahati mbaya pia umeshika ujauzito una kama mwezi mmoja tu ukitaka suluhu ya hili anakushauri mfunge ndoa ya siri kana kwamba tayari alishaoa! Unakabiliana nayo vp hali kama hii? Na je hapa mapenzi yalikuwepo au? Ata hivo bado anaonyesha ana upendo na ww na wakati huohuo anaonesha ana upendo na dada binam kwa kuona sms wanazotumiana! Comments zenu muhimu sana jamani karibun tuchangie mada
Duu, wengi mnamlaumu Laussane hakusoma alama za nyakati, mapenzi ni upofu nyie, ohooo!
...Huyo mwanaume ndio wa kulaumiwa kwa undumilakuwili wake. Hana msimamo kabisa huyo Ndugu. Anaoa kwa matakwa yake au ya ndugu zake? wanaume wengine bwana...
Laussane, maisha ndivyo yalivyo. Kuna mengine mpaka yakukute ndipo utaamini sio hadithi za kutungwa...
Ipo mifano mingi watu wa namna hiyo, kuna dada ambaye alikuwa na mchumba'ke ughaibuni ambaye alikuwa anamhudumia kila kitu, kuanzia nyumba, fenicha, mahitaji ya ndani, usafiri na pesa za matumizi, akitaraji siku akirudi atafunga naye ndoa... kumbe Mwanamke huyo kamweka kinyumba njemba mwingine...
By the time jamaa wa ughaibuni anarudi kuja kuoa, anakuta 'mchumba' kwenye hatua za mwisho mwisho kufunga ndoa na njemba, tena wakati huo ana ujauzito mkubwa tu...
Visa hivi vya kudanganyana vingi sana, ...pole kwa yaliyokukuta. La msingi mwambie hakuna ndoa ya siri, kama anataka ndoa awashirikishe wazazi wa pande zote mbili, ili utambulike kisheria na kidini (ikibidi), na huyo mtoto atayezaliwa apate haki zake.
Tehe Huyu dada hakujua kuwa ana dili na mwanaume, Alishaambiwa kuwa jamaa ana mchumba tena yupo kiwanja akadanganywa huyo mchumba hataki kurudi bongo, yeye hakufanya uchunguzi, akagawa umaskini tuu. miezi sita tuu kaamini kila kitu kaamua kubeba na mimba. Kupima ukimwi wala sio kigezo cha jamaa kuwa commited, kwa taarifa yenu WANAWAKE, mwanaume akikutaka/akikutamani atafanya lolote lile kuku impress, lkn akishamega tuu lazima wewe utaanza kumtafuta ingawa hapo mwanzo ulikuwa unaenziwa km malaika.Ushauri wangu kwako, usikubali ndoa ya siri, kwani wewe una kipi kibaya kinachokufanya ufunge ndoa ya siri? kwa nini mjifiche? hapo kuna walakini. Jitokeze nenda hata kwa ndugu zake wataarifu umebeba mimba ya jamaa, ukijificha mtoto hata pata matunzo huyo, jamaa akishaoa huyo ndugu binamu sijui, wewe atakukana huyoo, wapo wengi tuu wamekana watoto.